Huyo aliyezini naye yupo wapi hapo!?Katika nchi zinazo fuata sheria ya dini ya Kiislam amepigwa huyo bakora kwa sababu ya kosa la zinaa amezini huyo. Kama hapo kwetu bongo tunauwa mwizi je tunafuata sheria gani? sheria ya nchi yetu ya Tanzania inaruhusu mwizi kuuliwa? au mwizi kukamatwa na kupelekwa kituo cha polisi?