Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

Status
Not open for further replies.
Huyo aliyezini naye yupo wapi hapo!?
 
Mbona hatujaona mwanaume akipigwa hizo bakora, mnapigaje mtu mzima eti kazini kwa nini asielezwe madhara ya kuzini kuliko kumchapa! Huwezi kulinganisha kuua na kuzini mkuu!! Mwizi ni mwizi na wanaomua wanajichukulia sheria mikononi na wakibainika wanakamatwa! Lakini hapo wewe umekiri kuwa ni sheroa za dini za kiislam, kama kweli dini ndo inasema hivyo basi hiyo sio dini
 
Hiyo dini imekua kero duniani, halafu Ina maagizo ya kishetani na kigaidi, hebu soma hizi aya

Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Uislamu kuna maagizo machafu zaidi kuliko hilo la viboko, hebu ona hii
Hao wenye roho nzuri kwa Wakristo sio waislamu kamili na hawataionja pepo, ukipata quran fungua hizi aya
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Kwa hiyo haya maagizo machafu hapa ni movie
Hao wenye roho nzuri kwa Wakristo sio waislamu kamili na hawataionja pepo, ukipata quran fungua hizi aya
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Ndio maana ni kosa kumuua mwizi

Hakuna sheria inayoruhusu hivyo ni watu wanavunja sheria
 
Hao ni wajinga wa Nigeria huko.
Wakati mwingine naona mpaka aibu kua muislamu. Maana ukiangalia waislamu wenyewe, dah!
Si ndio utawala wa Sharia unavyotaka?
Mnaolilia uwe mwongozo wenu wa Maisha.
Ukimchapa viboko mzinzi ndio mnaiondoa dhambi yake yote anabaki mchamungu safi.

Na hao wanaochapa ni watakatifu tu.
Watu safi kabisa.
 
Amezini bila mwanaume?
 
Ha ha haaa. Sasa kwanini huyo asipelekwe kituo cha polisi kama amedanya jinai? Yaani mtu/ binti anapigwa mbele ya watoto wengine kisa eti katumia mwili wake halafu mnafananisha na mwizi aliyeiba mali watu na kuisababishia jamii hasara? Ficha upumbavu wako siku nyingine. Kwani hicho alichokitumia ni chakwake au kaibia mtu?
 
HApa naziona series za azam tv saa 4, maigizo ni infidels (wazushi) wenye alama ya msalaba ni mwendo wa kuwaua.
 
Swali ambalo huwa najiuliza, hivi ufanye huu ukatili wote halafu hatimaye uje kugundua huyo "mungu" unayemuadu kumbe siye.
Njemba nne zilizoshiba zinamchangia mwanamke mmoja na kumcharaza kisa dini

Hizi laana zitakuja kuwatafuna brazaj
Hawa watu ni wanyama wasiostahili kuishi miongoni mwa bindamu. Ishukuriwe Israel kwa kuwaondoa duniani!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…