Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, tusimulie watuibie mabwana zetu. Ni mwendo wa kupiga kimya tu.Hatunaga tabia za kuambizana ufundi wa waume zetu kaeni kwa amani.
😂 Mnafanana
Nimeishia kucheka.Kama ni muhimu sana kwako pambana, pelekea moto haswa. Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwake.
Unajua, hapa tunapoongea kuna mchakataji anachakata mke wa mwanajeshi anayelinda mipaka, daktari anayeokoa maisha, mwanasayansi anayebuni teknolojia mpya n.k
Hawa wote wakiacha wanayoyafanya au kupunguza ufanisi ili wachakate vizuri wake zao, binadamu tutakuwa kama mbwa tu.
Binafsi naamini ni sahihi Kila mtu apambanie lililo la muhimu kwake. Mridhishaji wa wanawake apambane sana kwa kuchakata style zote ili wanawake wa dunia hii waridhike na mwenye vipaumbele vingine avipambanie hivyo vipaumbele.
Katika maisha, huwezi kutumia muda wako kuhudumia mwili wa mwanamke hapo hapo ukawa vizuri kwenye mambo mengine, lazima kuna moja utalifanya kawaida na jingine utalifanya kwa ufanisi.
SASA KAMA DAKTARI KAAMUA KUOKOA MAISHA MWEZI MZIMA BADALA YA KUMBADILI MKE WAKE STYLE YUPO SAHIHI SANA, NA YULE ATAKAYEONA NI SAHIHI KUTUMIA HUO MWANYA KUMFUNDISHA MKE WA DAKTARI STYLE MPYA NI MAAMUZI PIA, KILA BINADAMU NA ATUMIE ZAWADI YA MAISHA KWA NAMNA INAYOMPENDEZA SABABU HATUJUI NN KIPO PUMZI IKIKATA NA MUDA NI MFUPI KWELI.
Boss jamii ambayo kila mwanaume kipaumbele ni kumridhisha mke wake inafananaje? Umepata kifafa unawaishwa hosp daktari mkuu anakutibu huku kipaumbele kikiwa ni amalize haraka akamridhishe mkewe.Nimeishia kucheka.
Ila umeongea fact tupu mdau..
Kama wewe huo mzigo unautaka ubebe, ila kujichosha kwa mtu asiyeridhika ni udhaifu. Wewe nani kakwambia utakula ngono, kama ndoa ni kujiumiza kiasi cha kutojithamini basi kuoa sio lazima, maana kila kitu kwa kiasi. Everyone has extremes in his/her life ila unazicontrol ukijiona huwezi achana na kuishi na mwenzako.Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.
Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au unapiga kimoja tu chali. Kule unafikiri mwenzako anajifikiriaje? Lazima akiamka asubuhi amfikirie jamaa akampe kidogo cha kuondoa uchovu ule muda akienda sokoni.
Hawa wamama wanapambana na majaribu mengi huko na kama unavyojua mwanamke ni dhaifu. Sokoni kuna wauza bucha, nyama za nyongeza atapewa utumbo, njiani mabodaboda kuitwa itwa, lifti za bure anatunza buku ya kupeleka kwenye kikoba unakuta wanashawishika.
Sasa kama unarudi nyumbani halafu huna unachofanya eti kisa mke wangu nimemuoa, shauri yako! Kuna mijabali nje huko itakupigia halafu mtuletee nyuzi za kufumaniana na kupigana na vitu vyenye ncha kali.
Mi nimewaza tu kidogo tusaidiane kupunguza haya matatizo ambayo kila kukicha yanaongezeka.. Badilisheni kidogo mazingira ya ndani, tatizo mkishaoa tu basi mnajua mmefika, unajua mwanamke ni wako peke yako!
Nani kakwambia kuwa ni wako? Mwanamke huwa hasemi kama haridhiki kutokana na aibu, sasa wewe unaona kichwa tu kumburuza hivyo hivyo. Najua tozo zinaumiza na maisha magumu, kupanda kwa vitu bei, shule Januari ndiyo inakaribia, lakini tujitahidi sasa tutafanyaje yote hayo tunatakiwa tuyakabili.
Ongezeeni mengine, mambo mengi muda mchache.
Wewe pia upelekewe motoUnakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.
Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au unapiga kimoja tu chali. Kule unafikiri mwenzako anajifikiriaje? Lazima akiamka asubuhi amfikirie jamaa akampe kidogo cha kuondoa uchovu ule muda akienda sokoni.
Hawa wamama wanapambana na majaribu mengi huko na kama unavyojua mwanamke ni dhaifu. Sokoni kuna wauza bucha, nyama za nyongeza atapewa utumbo, njiani mabodaboda kuitwa itwa, lifti za bure anatunza buku ya kupeleka kwenye kikoba unakuta wanashawishika.
Sasa kama unarudi nyumbani halafu huna unachofanya eti kisa mke wangu nimemuoa, shauri yako! Kuna mijabali nje huko itakupigia halafu mtuletee nyuzi za kufumaniana na kupigana na vitu vyenye ncha kali.
Mi nimewaza tu kidogo tusaidiane kupunguza haya matatizo ambayo kila kukicha yanaongezeka.. Badilisheni kidogo mazingira ya ndani, tatizo mkishaoa tu basi mnajua mmefika, unajua mwanamke ni wako peke yako!
Nani kakwambia kuwa ni wako? Mwanamke huwa hasemi kama haridhiki kutokana na aibu, sasa wewe unaona kichwa tu kumburuza hivyo hivyo. Najua tozo zinaumiza na maisha magumu, kupanda kwa vitu bei, shule Januari ndiyo inakaribia, lakini tujitahidi sasa tutafanyaje yote hayo tunatakiwa tuyakabili.
Ongezeeni mengine, mambo mengi muda mchache.
Hili andiko lijengewe jumba la makumbusho!Kama ni muhimu sana kwako pambana, pelekea moto haswa. Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwake.
Unajua, hapa tunapoongea kuna mchakataji anachakata mke wa mwanajeshi anayelinda mipaka, daktari anayeokoa maisha, mwanasayansi anayebuni teknolojia mpya n.k
Hawa wote wakiacha wanayoyafanya au kupunguza ufanisi ili wachakate vizuri wake zao, binadamu tutakuwa kama mbwa tu.
Binafsi naamini ni sahihi Kila mtu apambanie lililo la muhimu kwake. Mridhishaji wa wanawake apambane sana kwa kuchakata style zote ili wanawake wa dunia hii waridhike na mwenye vipaumbele vingine avipambanie hivyo vipaumbele.
Katika maisha, huwezi kutumia muda wako kuhudumia mwili wa mwanamke hapo hapo ukawa vizuri kwenye mambo mengine, lazima kuna moja utalifanya kawaida na jingine utalifanya kwa ufanisi.
SASA KAMA DAKTARI KAAMUA KUOKOA MAISHA MWEZI MZIMA BADALA YA KUMBADILI MKE WAKE STYLE YUPO SAHIHI SANA, NA YULE ATAKAYEONA NI SAHIHI KUTUMIA HUO MWANYA KUMFUNDISHA MKE WA DAKTARI STYLE MPYA NI MAAMUZI PIA, KILA BINADAMU NA ATUMIE ZAWADI YA MAISHA KWA NAMNA INAYOMPENDEZA SABABU HATUJUI NN KIPO PUMZI IKIKATA NA MUDA NI MFUPI KWELI.
Na naomba kuongezea hapa. Jukumu la mke ni msaidizi wa mume. Wote mnakuwa na kuelekea kwenye destiny ile Mungu aliowapangia. Na pia mke anawekwa na Mungu kuhakikisha yule mwanaume anatimiza kusudi la yeye kuwapo duniani.Kama ni muhimu sana kwako pambana, pelekea moto haswa. Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwake.