Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mxiuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks .imebidi niongee kingereza.Hata upeleke moto wa kufa mtu, wanawake ni dhaifu sana, wanadanganywa tu na kitu kidogo. Kumbuka sio wewe umeanza nae, aliyeanza nae bado yupo moyoni.
Safi sana!Kama ni muhimu sana kwako pambana, pelekea moto haswa. Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwake.
Unajua, hapa tunapoongea kuna mchakataji anachakata mke wa mwanajeshi anayelinda mipaka, daktari anayeokoa maisha, mwanasayansi anayebuni teknolojia mpya n.k
Hawa wote wakiacha wanayoyafanya au kupunguza ufanisi ili wachakate vizuri wake zao, binadamu tutakuwa kama mbwa tu.
Binafsi naamini ni sahihi Kila mtu apambanie lililo la muhimu kwake. Mridhishaji wa wanawake apambane sana kwa kuchakata style zote ili wanawake wa dunia hii waridhike na mwenye vipaumbele vingine avipambanie hivyo vipaumbele.
Katika maisha, huwezi kutumia muda wako kuhudumia mwili wa mwanamke hapo hapo ukawa vizuri kwenye mambo mengine, lazima kuna moja utalifanya kawaida na jingine utalifanya kwa ufanisi.
SASA KAMA DAKTARI KAAMUA KUOKOA MAISHA MWEZI MZIMA BADALA YA KUMBADILI MKE WAKE STYLE YUPO SAHIHI SANA, NA YULE ATAKAYEONA NI SAHIHI KUTUMIA HUO MWANYA KUMFUNDISHA MKE WA DAKTARI STYLE MPYA NI MAAMUZI PIA, KILA BINADAMU NA ATUMIE ZAWADI YA MAISHA KWA NAMNA INAYOMPENDEZA SABABU HATUJUI NN KIPO PUMZI IKIKATA NA MUDA NI MFUPI KWELI.
Haya ni madini umeongea inabidi badae uyafungulie uzi ukiweza unaweza saidia na kuokoa maisha ya watu wengi.Umeongea kifupi.Na naomba kuongezea hapa. Jukumu la mke ni msaidizi wa mume. Wote mnakuwa na kuelekea kwenye destiny ile Mungu aliowapangia. Na pia mke anawekwa na Mungu kuhakikisha yule mwanaume anatimiza kusudi la yeye kuwapo duniani.
Ndo maana uasherati na uzinzi sio mzuri kwa sabbu...kila mwanamke aliepangiwa na mbingu kuolewa ..yale maungo yaliwekwa kwa ajili ya mwanaume mmoja. Lakin kwa sabbu za kiufundi unakuta alishaanza kipind ana miaka 17. Unakuta kaolewa na daktari, mwanajeshi na mume yuko busy kwelikweli. Kama hana hofu ya Mungu..hatajali kusudi la kusimama katika nafasi yake kama mke..bali atakitembeza nje bila wasiwasi akijidai.."mume wangu yuko busy sana haniridhishi"...so what happens anatoka kwenye reli...je atasimamiaje kusudi la kuwepo kwake kwenye hiyo familia??? Jibu ni nehii...she is off. Ndo hapa inapelekea familia kuharibika.
Nilimuuliza mmama mmoja kuhusu mambo ya modern marriages..akaniambia..if a woman anataka asucceed kwenye ndoa basi ajue kusudi la kuwepo kwake katika hiyo familia. If you are chosen by the heavens to be a doctors wife..Mungu anataka ualign na his dream and visions. Utakuwa msaidizi na kumsupport katika kazi au utumishi wake. Its his calling. Lakini ukitaka kujilinganisha na a businessman's wife ili muwe treated equally... Utafeli mapema. You have your path..live in your path. Merci!!
Shukran mkuu.Hili andiko lijengewe jumba la makumbusho!
🤝 🤝🤝🤝Na naomba kuongezea hapa. Jukumu la mke ni msaidizi wa mume. Wote mnakuwa na kuelekea kwenye destiny ile Mungu aliowapangia. Na pia mke anawekwa na Mungu kuhakikisha yule mwanaume anatimiza kusudi la yeye kuwapo duniani.
Ndo maana uasherati na uzinzi sio mzuri kwa sabbu...kila mwanamke aliepangiwa na mbingu kuolewa ..yale maungo yaliwekwa kwa ajili ya mwanaume mmoja. Lakin kwa sabbu za kiufundi unakuta alishaanza kipind ana miaka 17. Unakuta kaolewa na daktari, mwanajeshi na mume yuko busy kwelikweli. Kama hana hofu ya Mungu..hatajali kusudi la kusimama katika nafasi yake kama mke..bali atakitembeza nje bila wasiwasi akijidai.."mume wangu yuko busy sana haniridhishi"...so what happens anatoka kwenye reli...je atasimamiaje kusudi la kuwepo kwake kwenye hiyo familia??? Jibu ni nehii...she is off. Ndo hapa inapelekea familia kuharibika.
Nilimuuliza mmama mmoja kuhusu mambo ya modern marriages..akaniambia..if a woman anataka asucceed kwenye ndoa basi ajue kusudi la kuwepo kwake katika hiyo familia. If you are chosen by the heavens to be a doctors wife..Mungu anataka ualign na his dream and visions. Utakuwa msaidizi na kumsupport katika kazi au utumishi wake. Its his calling. Lakini ukitaka kujilinganisha na a businessman's wife ili muwe treated equally... Utafeli mapema. You have your path..live in your path. Merci!!
Kabisa boss.Safi sana!
Kila mtu atumie zawadi aliyopewa na mwenyezi Mungu kuleta tofauti ulimwenguni.
Uko sahihi ila pia uko biased. Kwa uzoefu wangu wa miaka 15 ya ndoa, wanawake ndo wenye shida zaidi. Mwanamke akishaolewa anajisahau sana. maisha anayachukulia poa zile mbwembwe za kumjali mume zinapotea kidogo kidogo ila kwa uhakika. Tatizo linaongezeka pale mnapopata watoto, umakini na upendo unahamia kwa watoto. wengine hata usafi wake tu ni tatizo. Majukumu anayotakiwa afanye kwa mumewe anahamishia kwa binti wa kazi. Hapo unatarajia nn aisee. penzi linakuwa la mazoea tena siku hizi hawafichi, wanasema kabisa mwanaume hashikiki wacha achepuke ila jioni atarudi. Yaani wao kwao ndoa ni muhimu haijalishi inaendaje.Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.
Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au unapiga kimoja tu chali. Kule unafikiri mwenzako anajifikiriaje? Lazima akiamka asubuhi amfikirie jamaa akampe kidogo cha kuondoa uchovu ule muda akienda sokoni.
Hawa wamama wanapambana na majaribu mengi huko na kama unavyojua mwanamke ni dhaifu. Sokoni kuna wauza bucha, nyama za nyongeza atapewa utumbo, njiani mabodaboda kuitwa itwa, lifti za bure anatunza buku ya kupeleka kwenye kikoba unakuta wanashawishika.
Sasa kama unarudi nyumbani halafu huna unachofanya eti kisa mke wangu nimemuoa, shauri yako! Kuna mijabali nje huko itakupigia halafu mtuletee nyuzi za kufumaniana na kupigana na vitu vyenye ncha kali.
Mi nimewaza tu kidogo tusaidiane kupunguza haya matatizo ambayo kila kukicha yanaongezeka.. Badilisheni kidogo mazingira ya ndani, tatizo mkishaoa tu basi mnajua mmefika, unajua mwanamke ni wako peke yako!
Nani kakwambia kuwa ni wako? Mwanamke huwa hasemi kama haridhiki kutokana na aibu, sasa wewe unaona kichwa tu kumburuza hivyo hivyo. Najua tozo zinaumiza na maisha magumu, kupanda kwa vitu bei, shule Januari ndiyo inakaribia, lakini tujitahidi sasa tutafanyaje yote hayo tunatakiwa tuyakabili.
Ongezeeni mengine, mambo mengi muda mchache.
😁😀😀😀😀😀dhalau hiziii😂 Mnafanana
UmenenaUko sahihi ila pia uko biased. Kwa uzoefu wangu wa miaka 15 ya ndoa, wanawake ndo wenye shida zaidi. Mwanamke akishaolewa anajisahau sana. maisha anayachukulia poa zile mbwembwe za kumjali mume zinapotea kidogo kidogo ila kwa uhakika. Tatizo linaongezeka pale mnapopata watoto, umakini na upendo unahamia kwa watoto. wengine hata usafi wake tu ni tatizo. Majukumu anayotakiwa afanye kwa mumewe anahamishia kwa binti wa kazi. Hapo unatarajia nn aisee. penzi linakuwa la mazoea tena siku hizi hawafichi, wanasema kabisa mwanaume hashikiki wacha achepuke ila jioni atarudi. Yaani wao kwao ndoa ni muhimu haijalishi inaendaje.
Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwakeKama ni muhimu sana kwako pambana, pelekea moto haswa. Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwake.
Unajua, hapa tunapoongea kuna mchakataji anachakata mke wa mwanajeshi anayelinda mipaka, daktari anayeokoa maisha, mwanasayansi anayebuni teknolojia mpya n.k
Hawa wote wakiacha wanayoyafanya au kupunguza ufanisi ili wachakate vizuri wake zao, binadamu tutakuwa kama mbwa tu.
Binafsi naamini ni sahihi Kila mtu apambanie lililo la muhimu kwake. Mridhishaji wa wanawake apambane sana kwa kuchakata style zote ili wanawake wa dunia hii waridhike na mwenye vipaumbele vingine avipambanie hivyo vipaumbele.
Katika maisha, huwezi kutumia muda wako kuhudumia mwili wa mwanamke hapo hapo ukawa vizuri kwenye mambo mengine, lazima kuna moja utalifanya kawaida na jingine utalifanya kwa ufanisi.
SASA KAMA DAKTARI KAAMUA KUOKOA MAISHA MWEZI MZIMA BADALA YA KUMBADILI MKE WAKE STYLE YUPO SAHIHI SANA, NA YULE ATAKAYEONA NI SAHIHI KUTUMIA HUO MWANYA KUMFUNDISHA MKE WA DAKTARI STYLE MPYA NI MAAMUZI PIA, KILA BINADAMU NA ATUMIE ZAWADI YA MAISHA KWA NAMNA INAYOMPENDEZA SABABU HATUJUI NN KIPO PUMZI IKIKATA NA MUDA NI MFUPI KWELI.
Kabisa mkuuKila mtu afanye lililo na umuhimu kwake
MmhHatunaga tabia za kuambizana ufundi wa waume zetu kaeni kwa amani.
Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu.