Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

Unam.tom.ba mkeo kibishoo? Shauri yako..! Tutafute pesa lakini tusisahau pia kuwakojoza.
 
Nimeishia kucheka.

Ila umeongea fact tupu mdau..
 
Reactions: Tsh
Umeongea HEWA jamaa yangu. Mwanamke kiumbe mwingine kabisa. Unaweza ukawa unampelekea moto saaaana. Yeye hayupo hapo,anamuwaza Yusuph wa kimoja tu cha mahaba. Kwa Yusuph kile kimoja tu kinamkojoza mara 2,mpaka 3 kabla ya Yusuph kumaliza. Mapenzi ni feelings zaidi,utabaki na moto wako.
Haya mambo hata maprofesar wameyashindwa kuyapatia majibu. Ni MUNGU anajua nini kipo
 
Nimeishia kucheka.

Ila umeongea fact tupu mdau..
Boss jamii ambayo kila mwanaume kipaumbele ni kumridhisha mke wake inafananaje? Umepata kifafa unawaishwa hosp daktari mkuu anakutibu huku kipaumbele kikiwa ni amalize haraka akamridhishe mkewe.
 
waulize wanawake wenyewe, hicho kitu hakuna mwanamke anayeweza kutosheka na mume wake pekee..Hapa ndipo penye lile fumbo la kuvumiliana wakati wa shida hiyo 😡 . Waastarabu wanaelewa na huwezi kuwakuta wanahangaika na wanaume wasio wakwao, ila wale wengine wenye hiyo tabia ya kutotulia utawaona wanavyopapalika na wanaume wasio wakwao. Hiyo ni tabia mbona, mimi nakaa hata miaka 2bila kufanya na haina maana kwamba siwaki tamaa ya kufanya..la hasha "navumilia tu" kama ule wimbo wa kwaya ya makuburi😛😛😛😛
 
me nafkiri hii sanaa ya mapenzi inafahamika !. hakuna aliyesalama kuanzia rais,mwanajesh,mwalimu,butcherman,bodaboda nk. ikiwa boda anakula mke wa mtu je mke wa boda analiwa na nani? au haliwi? kwahio badala ya kutafta afadhali isiyokuwepo ni vema tukaegemea kwen kanuni yetu ya cku zote kwamba : mwanamke anaecheat aachwe mara moja bila msamaha kwani kanuni ya kucheat inasema : once once ! once forever.
 
Kwa mwanaume inawezekana kuchepuka hata kama anampenda mke wake, ila kwa wanawake ni tofauti, na kwa sababu wanaume tunaona kuchepuka ni swala la kawaida basi tunaamini ni ngumu kuwa na mke asiyechepuka, lakini ukweli ni kwamba wanawake wanaochepuka ni wachache sana.
 
Kama wewe huo mzigo unautaka ubebe, ila kujichosha kwa mtu asiyeridhika ni udhaifu. Wewe nani kakwambia utakula ngono, kama ndoa ni kujiumiza kiasi cha kutojithamini basi kuoa sio lazima, maana kila kitu kwa kiasi. Everyone has extremes in his/her life ila unazicontrol ukijiona huwezi achana na kuishi na mwenzako.
 
Kufungua kituo kipya kwenye kituo Cha zamani kazi Sana.
Naamini Kuchezeana akili ndio sababu hatueleweki + tunahanja kusaka kila uchi....untill akili ikubali ( Master ) mwili ( slave) utatulia..... Mwili haujui chochote Wala unapoelekea.
#KATAA NYEGE😎
 
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu unaweza mfanyia yote hayo na akatoka tu njee hivyo kuwa na moyo jiwe tu
 
Wewe pia upelekewe moto
 
Hili andiko lijengewe jumba la makumbusho!
 
Na naomba kuongezea hapa. Jukumu la mke ni msaidizi wa mume. Wote mnakuwa na kuelekea kwenye destiny ile Mungu aliowapangia. Na pia mke anawekwa na Mungu kuhakikisha yule mwanaume anatimiza kusudi la yeye kuwapo duniani.

Ndo maana uasherati na uzinzi sio mzuri kwa sabbu...kila mwanamke aliepangiwa na mbingu kuolewa ..yale maungo yaliwekwa kwa ajili ya mwanaume mmoja. Lakin kwa sabbu za kiufundi unakuta alishaanza kipind ana miaka 17. Unakuta kaolewa na daktari, mwanajeshi na mume yuko busy kwelikweli. Kama hana hofu ya Mungu..hatajali kusudi la kusimama katika nafasi yake kama mke..bali atakitembeza nje bila wasiwasi akijidai.."mume wangu yuko busy sana haniridhishi"...so what happens anatoka kwenye reli...je atasimamiaje kusudi la kuwepo kwake kwenye hiyo familia??? Jibu ni nehii...she is off. Ndo hapa inapelekea familia kuharibika.

Nilimuuliza mmama mmoja kuhusu mambo ya modern marriages..akaniambia..if a woman anataka asucceed kwenye ndoa basi ajue kusudi la kuwepo kwake katika hiyo familia. If you are chosen by the heavens to be a doctors wife..Mungu anataka ualign na his dream and visions. Utakuwa msaidizi na kumsupport katika kazi au utumishi wake. Its his calling. Lakini ukitaka kujilinganisha na a businessman's wife ili muwe treated equally... Utafeli mapema. You have your path..live in your path. Merci!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…