Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

Hata upeleke moto wa kufa mtu, wanawake ni dhaifu sana, wanadanganywa tu na kitu kidogo. Kumbuka sio wewe umeanza nae, aliyeanza nae bado yupo moyoni.
Thanks .imebidi niongee kingereza.
 
Safi sana!

Kila mtu atumie zawadi aliyopewa na mwenyezi Mungu kuleta tofauti ulimwenguni.
 
Reactions: Tsh
Haya ni madini umeongea inabidi badae uyafungulie uzi ukiweza unaweza saidia na kuokoa maisha ya watu wengi.Umeongea kifupi.
 
🀝 🀝🀝🀝
 
N ma bro muwe mnawakumbatia wake zenu mnatupa tabu sana wadogo zenu mwisho mtuone wahuni wahuni hatuna maadili.
 
Uko sahihi ila pia uko biased. Kwa uzoefu wangu wa miaka 15 ya ndoa, wanawake ndo wenye shida zaidi. Mwanamke akishaolewa anajisahau sana. maisha anayachukulia poa zile mbwembwe za kumjali mume zinapotea kidogo kidogo ila kwa uhakika. Tatizo linaongezeka pale mnapopata watoto, umakini na upendo unahamia kwa watoto. wengine hata usafi wake tu ni tatizo. Majukumu anayotakiwa afanye kwa mumewe anahamishia kwa binti wa kazi. Hapo unatarajia nn aisee. penzi linakuwa la mazoea tena siku hizi hawafichi, wanasema kabisa mwanaume hashikiki wacha achepuke ila jioni atarudi. Yaani wao kwao ndoa ni muhimu haijalishi inaendaje.
 
Umenena
 
Kila mtu afanye lililo na umuhimu kwake
 

Ni upumbavu mwanaume kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke. Hata usimamie kucha, wakutokaatatoka tuu. Unapunguza siku zako za kuishi bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…