Wanaume warefu watamu sana

Mkuu mbona post zako unaponda sana wanaume.. kulikoni? Kama umeachika hv karibu jitahidi ku-move on dada angu, kuweka kinyongo moyoni haitakusaidia chochote
 
Unaonekana unapenda sana Mikuyenge Mirefu Dada kutokana na haya Maelezo yako na walivyo Wanaume Warefu na Wembamba pia.
 
Sisi wanaume warefu huwa tunawaona wanaume wafupi Kama kundi linalohitaji uangalizi maalum maana vijamaa vinateswa sana vikipata dem vinang'ang'ania hata Kama havipendwi kwasababu huwa hawana uhakika wa kupata dem mwngne
 
Ule msimu wa majungu na fitina umerudi tena 😂😂😂
 
Watu wanamshambulia mleta mada jaman ufup si ugonjwa ni hali tu. We cheka zako enjoy pita fyuuu.

Warefu kumepambazuka vzuri, japo siupendi urefu.
 
Hujawah kupata mwanaume mrefu alafu akawa hajui kitu na inaonekana hujawahi pata mwanaume mfupi mwenye kujua mapenzi kama yote. Inaonekana mgeni kwenye tasnia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…