Wanaume warefu watamu sana

[emoji1787][emoji1666]
 
Mwachiluwi Gily Gru
 
Unakosoa uumbaji wa Mungu? Je unaweza kuumba hata kope ya mtoto wako muombe Mungu msamaha uumbaji ni wake unapoukosoa haukosoi hao wafupi ila unamkosoa Mungu aliewaumba. Japo ufupi si kilema je unaweza kumcheka kilema kwa kuzaliwa vile alivyo je wewe na anayewacheka albino kuna tofauti? Tafakari tubu!
 
5 feet and 9.685 inches kibongo bongo huyu ni mrefu
Kama ni demu huo ni urefu wa zaiylisaa hivyo ni tall sana ni kama mwanaume wa 6'6 ft kibongo hivyo ata stand out sana maana kiasili wanawake ni wafupi kuliko wanaume

Ila Kama ni mwanaume ni urefu wa kawaida sana japo uta stand out some places minor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…