Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

Pale Malaika wa ndoa anapokuletea mume ila shetani hataki kupoteza mzinzi wake mwishoni anakupitia.
 
Pamoja na yote, inaonekana wadadq wengi wa kimasai ni slope kitonga sana. Nimekutana nao baadhi wapo cheap sana.(mleta mada excluded)
 
Kuna namna mnatutengenezeaga mazingira hadi tunaelewa kabisa huyu bibie kanielewa. Sisi huishia kuwapa nyie nafasi, hata kama sio kula mzigo lkn tunakuwa na ukaribu.
 
Kwa hiyo tayari tushazini
Mathayo 5:28

Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

Kama hivyo ndivyo, basi AMTAZAMAYE MWANAMME KWA KUMTAMANI, AMEKWISHA KUZINI NAYE MOYONI MWAKE.

Fanya tu utaratibu ukamilishe, maana tayari umeshaandikiwa uzinifu!!
 
Kataa ndoa oyeee
 
nzuri hii
 
Nimependa ulivyomalizia hapo mwisho kwamba kuheshimu ndoa ndiyo mzima.Mungu akubariki kwa hilo.
 
Yesu alisemaje kuhusu kutamani?

Japo hiki kipengele nahisi kiliwekwa na wapuuzi kimagumashi.
 
Yani hapo ujue mmeshazini moyoni. Hakuna namna
 
Mie nikikutamani nitakuwa nawaza jinsi gani nimekuinamisha chuma mboga, mwanamke unatamani nini hasa
 
Thubutu yake. Katika mambo nakwepa ni kumuonesha mwanaume nimemuelewa kabla hajanitamkia chochote. Hiki kitu nakiogopa kupita maelezo.
.
Kelsea Ukikutana na mwanaume ukamuelewa kweli...hata ujifiche vp, body language yako itakusaliti.
.
You can't hide everything, you will behave in a certain way unconsciously...its just that guys aren't that attentive to notice those little gestures.
 
Acha tamaa na karibu madafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…