Wanaume wasiowaaminifu Wana IQ ndogo ukilinganisha na waaminifu.

Ni wapi mleta mada ameweka hiyo link?

Mleta mada hajaongelea issue ya relationship pekee wala hakusema hivyo wala hakua specific anaongelea uaminifu upi kwa mujibu wa alivyoiwasilisha mada yake,

Hiyo link sio ushahidi kwamba eti mleta mada ameongelea hilo.
 
😀😀
Saikolojia ndio iko hivyo Mkuu.

Alafu IQ kubwa EQ ndogo
EQ kubwa IQ ndogo.

EQ = Emotional quotient
IQ = Intelligent quotient
Hii ni kweli kabisa...

Mfano watu wenye IQ kubwa mara nyingi wanakosa control kwenye mambo yao binafsi inamaanisha EQ ni ndogo... Walio wengi wanajikuta kwenye ulevi wa kupindukia, na kufail kwenye ku-handle masuala ya kifamilia na kijamii.

Ila hawa wenye IQ ndogo vitu vidogo vidogo vya kifamilia na kijamii wanavimaster ipasavyo inaonyesha wana EQ kubwa.

Hembu angalia uhusiono kati ya walevi na malaya kwa Mfano asilimia kubwa ya walevi sio malaya na pia asilimia kubwa ya wasio walevi/wanywaji ni malaya sana.

Kuwa mlevi sana ni kukosa kujitambua au kushindwa kujidhiniti kujicontrol mwenyewe(EQ)

Kuwa malaya inamaana unauwezo mkubwa wa kushawishi ku interact na watu wa aina na tabia tofauti tofauti hivyo unajitambua na unajua jamii inataka nini... Na wewe ufanye nini/ujiposition vip ili ueleweke.
 
Ni wapi mleta mada ameweka hiyo link?

Mleta mada hajaongelea issue ya relationship pekee wala hakusema hivyo wala hakua specific anaongelea uaminifu upi kwa mujibu wa alivyoiwasilisha mada yake,

Hiyo link sio ushahidi kwamba eti mleta mada ameongelea hilo.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Hii ni kweli kabisa...

Mfano watu wenye IQ kubwa mara nyingi wanakosa control kwenye mambo yao binafsi inamaanisha EQ ni ndogo... Walio wengi wanajikuta kwenye ulevi wa kupindukia, na kufail kwenye ku-handle masuala ya kifamilia na kijamii.

Ila hawa wenye IQ ndogo vitu vidogo vidogo vya kifamilia na kijamii wanavimaster ipasavyo inaonyesha wana EQ kubwa.

Hembu angalia uhusiono kati ya walevi na malaya kwa Mfano asilimia kubwa ya walevi sio malaya na pia asilimia kubwa ya wasio walevi/wanywaji ni malaya sana.

Kuwa mlevi sana ni kukosa kujitambua au kushindwa kujidhiniti kujicontrol mwenyewe(EQ)

Kuwa malaya inamaana unauwezo mkubwa wa kushawishi ku interact na watu wa aina na tabia tofauti tofauti hivyo unajitambua na unajua jamii inataka nini... Na wewe ufanye nini/ujiposition vip ili ueleweke.

Watafiti tumewasubiri. Ahsante mmekuja kwa wakati.

Umesema sahihi kwa asilimia kubwa Sana.
 
Huyo hakuwa muadilifu vinginevyo hujui maana ya uadilifu.

Au ili kuweka Sawa tuweke uadilifu au uaminifu katika viwango. Kiwango cha juu, Kati na chini.

Waadilifu nafikiri hujawajua
Kumbe Lumumba alikua sio muadilifu? Je vipi kuhusu Clinton mbona alikua na akili na kuboost uchumi wa US ilihali Alimcheat mkewe
 
IQ ndogo pia ni rahisi kuuzoa UKIMWI kwasababu ni wazembe.

IQ kubwa labda awe amelewa.
 
Kwema Wakuu!

Saikolojia na kisayansi wanaume ambao sio waaminifu wana IQ ndogo Sana ukilinganisha na wale wenye uaminifu.

Hayo sio maoni bali ni fact.
Hizo hizo IQ ndogo zao ndio zinapendwa na wanawake maana in most cases Huwa wanafanya mambo ya low profile mbayo technically ndio wanawake wanayapenda na kuyafurahia.

Wewe mwenye IQ kubwa utasugia upweke Hadi ukome.
 
Hii ni kweli kabisa...

Mfano watu wenye IQ kubwa mara nyingi wanakosa control kwenye mambo yao binafsi inamaanisha EQ ni ndogo... Walio wengi wanajikuta kwenye ulevi wa kupindukia, na kufail kwenye ku-handle masuala ya kifamilia na kijamii.

Ila hawa wenye IQ ndogo vitu vidogo vidogo vya kifamilia na kijamii wanavimaster ipasavyo inaonyesha wana EQ kubwa.

Hembu angalia uhusiono kati ya walevi na malaya kwa Mfano asilimia kubwa ya walevi sio malaya na pia asilimia kubwa ya wasio walevi/wanywaji ni malaya sana.

Kuwa mlevi sana ni kukosa kujitambua au kushindwa kujidhiniti kujicontrol mwenyewe(EQ)

Kuwa malaya inamaana unauwezo mkubwa wa kushawishi ku interact na watu wa aina na tabia tofauti tofauti hivyo unajitambua na unajua jamii inataka nini... Na wewe ufanye nini/ujiposition vip ili ueleweke.
Ni kweli na mimi na kubaliana na Mtibeli, watu wenye
IQ kubwa wengi wao ni waaminifu kwa mambo yote sio
mapenzi tuu.

Wao kusema uongo au kushindwa kutimiza ahadi na wajibu wao
hiyo inawaumiza sana.

Mfano ni Sigma male personality and Melancholy temperament.
 
Ni kweli na mimi na kubaliana na Mtibeli, watu wenye
IQ kubwa wengi wao ni waaminifu kwa mambo yote sio
mapenzi tuu.

Wao kusema uongo au kutimiza ahadi na wajibu wao
hiyo inawaumiza sana.

Mfano ni Sigma personality and Melancholy temperament.
Daa aisee mkuu umechambua vizuri ulipo gusia Sigma personality.

Kupitia sifa za introverts na extroverts ukizijua hizo sifa unakua umeshapata uelewa wa pamoja na huu ndio mfano dhahili wa kuelezea uhusiano kati ya IQ, EQ na uaminifu.

Wengi tunawajua hawa introverts au sigma/lone wolves wengine wanawaita complex people... Hawa watu wanauwezo mkubwa wa kung'amua kuelewa na kuchambua mambo bila msaada wa mtu mwingine afu anatulia kimya... Yaani anayajua mambo lakini hasemi ni mpaka pale kutakapo kua na haja ya kusema.

Unaweza ukawa unamkosea, labda ni mshikaji wako unamzunguka katika biashara au mahusiano, unaweza kujiona mjanja na ukadhani hajui kumbe anajua tokea unaanza ye anakucheki hasemi chochote na si kwaubaya, sasa siku jichanganye uvuke mipaka yake /don't close the lines aliojiwekea huyu bwana Sigma...majibu yake yatakustua, kama kawaida yake haongei we utaona vitendo tu utaona ghafla urafiki umekufa, ua ghafla tu mtu kakukunja anakupiga, yaani anachukua maamuzi pasipo kukushilikisha na hadi kufikia hatua hiyo inamaana wewe umeshindikana au ulivuka mipaka yake,

Sasa Mtu mwenye sifa za namna hii huyu ana EQ ndogo anayajua mambo kiundani, lakini si muwasilishaji mzuri/hashirikiani kimawazo na jamii na hata akikiwakilisha atashindwa kukipresent/kuki-deliver kama vile anavyokusudia/hata sound kimsisitizo kwasababu EQ ni ndogo.

Sasa kinyume na sifa hizi ndio unakutana na kina extroverts (Alfa personality)

Hawa miamba ni cherehani wanaushawishi. Pia wanapenda kujulikana (validation)...
Haachi point hata moja.. Hivyo wana EQ kubwa.

Kuna personality nyingine wao wana EQ kubwa ila wanaitumia katika upambe (CHAWA) Yani yeye kumsifia au kumsindikiza kumfuatilia mtu akiwa anafanya shughuli zake ndio anasikia raha na ndio anaona anatimiza purpose yake hapa duniani))
 
Mkuu safi sana umenifurahisha sana umeeleza vizuri

kuhusu Sigma Male Personality/ Lonel Wolf na pia umueleze
vizuri kuhusu Alpfa Male personality na kuna akina Beta, Gama
n.k

Ni kweli kabisa IQ ni inversely proportion to EQ. Ndio maana Introvert
na Extrovert wanatofautiana.
 
Back
Top Bottom