Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mara ya kwanza......Bad face tumeula leo 🤨
[emoji28][emoji28]Mmecharuka na huu uandishi wa Unique Flower haya Mambo anawezea mwenyewe
Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana
Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu
Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari
Ninyi nimewaachia watoto
Mambo gani ninayawezeaMmecharuka na huu uandishi wa Unique Flower haya Mambo anawezea mwenyewe
Badilika dada,siku hizi mwanaume hapimwinkwa sura nzuri aliyonayo,au mtanashati alionao,siku hizi kinaangaliwa pochi,pesa ina matter mjuba,hata mtu uwe na sura kama iddi amini utaoa toto la kwenda ukiwa na fuba,mwanaume mnzuri ni pesa dada,labda ujui hao mandsome unawaona wewe hawana nguvu za kiume wengi wao wa bovu,tafuta dume lenye sura mbaya likupelekee moto na kuhakikishia hao unawaona wanzuri utawapenda tenaWanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana
Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu
Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari
Ninyi nimewaachia watoto
Mwanaume haangaliwi kipato tu aisee kutolewa sio kukurupuka ndugu kama hujui .Badilika dada,siku hizi mwanaume hapimwinkwa sura nzuri aliyonayo,au mtanashati alionao,siku hizi kinaangaliwa pochi,pesa ina matter mjuba,hata mtu uwe na sura kama iddi amini utaoa toto la kwenda ukiwa na fuba,mwanaume mnzuri ni pesa dada,labda ujui hao mandsome unawaona wewe hawana nguvu za kiume wengi wao wa bovu,tafuta dume lenye sura mbaya likupelekee moto na kuhakikishia hao unawaona wanzuri utawapenda tena
Mambo gani ninayawezea
Wewe endelea kuangalia sura,sura hata mbuzi anayo,utakuja kuzeeka huna hata mtoto,alafu hezi kwa mwanamke inakomaa anapofikisha 40s ,endelea kuangalia hb sisi mabad boy tunapelekea moto na ela tunahongwa pia,wanawake siku hizi wanapenda mwanaume mwenye sura ya kazi,ili kupata ulinzi wanapokuwa matembezi,sisi hatulambi lips,wala hatupaki poda,tunatafuta pesa pia mashine tunapiga ukitaka kibabe au kipole,za kuinama au kuchuchuma zote tunagawa ni wewe tuMwanaume haangaliwi kipato tu aisee kutolewa sio kukurupuka ndugu kama hujui .
Kuoa Kwa mwanaume au kuolewa Kwa mwanaume ni tija sana .
Sioo jambo lakuchukulia mzaha so ninachookuambia ni hivi ukitaka kuoa sio kupendwa na kujaliwa tu hapana .
Ndio maana wanaojielewa wa Sasa wengi wapo single.
Pole zake wanaangalia sura