Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Aisee🤔Kuna mchizi wangu ana sura ngumu saaana! Yani akicheka kama analia vile. Jamaa anauza mitumba na mademu wanamshobokea balaa halafu ni mcheshi mkipiga story mbili tatu lazima aweke na utani hivi.
Mademu wanaamini kutokana na kua na sura ngumu basi hawezi shobokewa na pisi kali ovyo ovyo. Matokeo yake anawapanga kama g nako yaaani ana walawala [emoji38][emoji38][emoji38]