Wanaume wazuri (handsome) wahuni sana hawajatulia

Aisee🤔
 
Alafu wanaume wenye sura ngumu wanakula mademu wakali kinoma, pisi za maana hata wewe mleta mada huwakuti kwa unzuri waliokuwa nao
 
Umenizima sijakuelewa mbona unaongea tofauti wapi nimetaja mahandsome unawaka
 
Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana

Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu

Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari

Ninyi nimewaachia watoto
Ndo umeshtuka saiv?
 
Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana

Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu

Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari

Ninyi nimewaachia watoto
Hela, HB, sura ngumu, mrefu, black.. Yaani taabu kweli hamsomeki
 
Tatizo sipendi mademu wa mtandaoni,maana unaweza kukutana na kituko cha ajabu,yani nyie make up zinawabeba ila mpo vibaya mnoo
Mimi sijawahi paka make up usoni mwaya nipo nilivyoo.

Siku za usoni utaona tu mwaya tumuombe Mungu atafungua njia amefungua sema hajaipalilia kutoa magugu na ametia magugu yote sema bado viuchafu chafu
 
Ulijuaje mmoja kati yao alikuwa gay sijui mda wote ukiwa nae ndan ana lamba lipsa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mbna mashoga wenyewee hawaalambi lips,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…