Wanaume wengi hatuna Ukimwi

Na bado wanadai haki sawa..😬
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.

Kwa hiyo kama wanaume wengi hawana ngoma, wanawake wanatoa ngoma wapi?
 
Ila kwenye majukumu wanakimbia.
Wewe jiulize tu, una mke mmoja na watoto 5 na hao wote wanakutegemea wewe kula, kuvaa, maradhi, ada n.k Suala la wewe utapata wapi pesa hawalijui. Sasa ongeza na mahitaji yako na ya mchepuko hapo. Lazima ufe mapema.
Na bado wanadai haki sawa..😬
 
Ila kwenye majukumu wanakimbia.
Wewe jiulize tu, una mke mmoja na watoto 5 na hao wote wanakutegemea wewe kula, kuvaa, maradhi, ada n.k Suala la wewe utapata wapi pesa hawalijui. Sasa ongeza na mahitaji yako na ya mchepuko hapo. Lazima ufe mapema.
Usiendelee mkuu unazidi kunihuzunisha..😥
 
Pamoja na kwamba VVU/UKIMWI iliibuka rasmi mwaka 1980, bado wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu janga hili. Ndiyo maana Trump atakuwa sahihi daima kwa kuizodoa & kuiparua Afrika vikali.
 
Ila kwenye majukumu wanakimbia.
Wewe jiulize tu, una mke mmoja na watoto 5 na hao wote wanakutegemea wewe kula, kuvaa, maradhi, ada n.k Suala la wewe utapata wapi pesa hawalijui. Sasa ongeza na mahitaji yako na ya mchepuko hapo. Lazima ufe mapema.
Hapo Bado members wengine wa extended family...Mtoto wa Mjomba, Shangazi, Baba Mdodo, Mama Mdogo...na hao Mashangazi, Wajomba, Baba na Mama wadogo..wote wanakusubiri...wote wanasubiri uwatumie chochote kitu...Sasa hayo maisha ya kuishi Mpaka miaka 90 yatakwepo kweli?
 
Mkuu aliekwambia Shahawa zinaambukiza Ukimwi Nani siwanasema damu sindo inambukizaga Ukimwi au tunapigwa
Nimeshangaa pia, maana kuna watoto huzaliwa wakiwa negative hali ya kuwa wazazi wote wawili ni positive, kama shahawa zingekua zinaambukiza basi hiyo isinge wezekana.
 
Kweli inawezekana pata picha mwanaume wa dar kakutana demu mwenye rambo, full genye. 😂😂😂😅
hata shetani ashuke
Awez ambukizwa.
 
A man is a producer of knowedge. Akasikika Phd holder wa jalalani.
 
Wanawake ni wengi kwa sasa kutuzidi kumaanisha kuwa wanaume ndo tunaongoza kwa kufa... Vifo kwa wanaume Ni Kama kuku sasa huoni Ni bora na hao wanawake waathirika lakini wanaishi zaidi kuliko wanaume walio na afya njema wanavyokufa bila mpangilio.
 
sio shahawa,Ila zile maji maji labda
Mm nimekalilishwa damu ndiyo inayo ambukiza Ukimwi sio majimaji ya ukeni wala manii mchubuane damu iingie Ukimwi ndo unaanzie hapo km mmoja Kati yenu anangoma ndo ivo au mkuu hujaskia MTU anangoma lakini anapata mtoto negative na salama.
 
hii elimu bana bado wengi hatuijui vzr ,mmoja na mm,Ila unaambiwa deep kisses (denda) unaweza kuambukizwa ,Sasa Yale si majimaji ya mdomoni!?,ninavyojua shahawa huwa hazpati maambukizi ,Ila Yale maji ambayo huwa yapo ukeni hata Kama ame relax yaani hafanyi mapenzi ,hayo huwa na virus,hivyo ukiingia mwanaume na ukawa na michubuko uumeni Basi Yale maji ya uke yakiingia au yakisugua sehemu ya uume yenye kidonda au mchubuko hapo unaweza kuambukizwa!!
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi.
Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
Usiwapotoshe watu UKIMWI UPO na utaendelea Kuwepo muhimu ni kujikinga na kuwakinga wengine wasipate maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…