1. Tunawazidi umri. Wewe una miaka 30 unaoa mwanamke mwenye 25 kawaida hapo wewe utaanza kufa mapema.
2. Tunawaza mambo mengi sana, namna ya kitafuta pesa, kazi, uwaze watoto mkeo n.k
3. Kazi zetu hizi, umeenda mkoa wa mbali unapambana jua lako na mvua. Mwanamke yupo ndani anaamka asubuhi anakunywa chai.
4. Hatupati muda wa kupumzika wa kutosha. Kuna jamaa hapa huwa anatoka saa 11 asubuhi anarudi saa 5 usiku kila siku. Mwanamke ana muda mwingi wa kupumzik
6. Kupiga nyau. Kula sambusa moja au andazi na kikombe kimoja cha chai kisha ukapige nyau. Kama haujazimia kwenye kifua cha mwanamke lkn mwanamke anakula andazi moja na chai na mzigo anatoa fresh tu.