Wanaume wengi hawajui hili

Wanaume wengi hawajui hili

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu, msaidizi pale unahitaji. Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi.

Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa na kupendwa.

Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia, kapeti na kila kitu.

Kupika kufua na watoto. Mke huakikisha watoto wote wasafi, wanafya, wanakula, wamefanya majukumu yao ya kila siku.

Pia anahakikisha hivyo hivyo kwako. IlA shukurani ni unampiga unamletea shida.

Ila huji kiheshima kwako unakuja kama hapo ni jalalani.

Mtu anakuvumilia anachoka. Kabisa kingine unakuta mtu anachakaa anaonekana bibi kuliko mama mzazi wako kisa manyanyaso .

Mwache akapendwe kunawengine wanampenda na kumdhamini.

Ndio maana jana nilipewa na mtu idadi ya watu walioona wameachana na ni zaidi ya ndoa laki 2 za juzi tu.

Kisa hicho hamuappreciate mnayofanyiwa.

INATOSHA
 
Kivipi tunaomba ufafanuzi
Kuna idadi kubwa sana ya wanawake wanaokimbia ndoa baada ya wanaume wao kufilisika.

Wanaume wengi wakifanikiwa hamuachi mke wake, kibaya sana atakachofanya ni ku-cheat tuu lakini mke wake bado atakuwa nae, ila nyie mnakimbia kabisa na hamkumbuka sacrifices tulizotoa kwa ajili yenu.
 
Hujaoa mwanamke ulimuoa dunga nyembe
 
Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu ,msaidizi pale unahitaji.
Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi.

Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa nakupendwa.

Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia,kapeti,na kila kitu.

Kupika kufua ,na watoto
Mke huakikisha watoto wote wasafi ,wanafya,wanakula,wamefanya majukumu yao yakila siku.

Pia anahakikisha hivyo hivyo kwako. IlA shukurani ni unampiga unamletea shida.

Ila huji kiheshima kwako unakuja kama hapo ni jalalani.

Mtu anakuvumilia anachoka. Kabisa kingine unakuta mtu anachakaa anaonekana bibi kuliko mama mzazi wako kisa manyanyaso .

Mwache akapendwe kunawengine wanampenda na kumdhamini.

Ndio maana jana nilipewa na mtu idadi ya watu walioona wameachana na nizaidi ya ndoa laki 2 zajuzi tu .

Kisa hicho hamuappreciate mnayofanyiwa.

INATOSHA
Ukiona umeolewa na mumeo anafikiria mapenzi, jua huko mbele kuna sehemu mtayumba. Mwanaume hatakiwi kufikiria mapenzi bali majukumu yake kama mume imeisha hiyo. Dada yangu kama mumeo hakuheshimu au unaona amebadilika ongea nae kistaaarabu. Ukiona mambo hayaendi jiongezee thamani. Naposema uiongezee thamani maana yake kiuchumi, kitaaluma na kiroho. Fungua biashara kama kuna fursa ya kuongeza elimu kazini chukua. Kama kuna viwanja vinauzwa mahali nunua e.t.c. Tatizo wanawake mnakariri kuwa kujiongezea thamani ni kujua mautundu ya chumbani 😂 😂 😂 😂 😂 . Mke wa ndoa kamwe usishindane na nyumba ndogo katika mambo ya ngono. Vimada tunawafanyia mambo ya kutisha ambayo hatuwezi kumfanyia mke wa ndoa. Mke wa ndoa inabidi ujiongeze kiakili, kwa sababu cheo chako ndo kinatupa nafasi ya kukuamini na kukutegemea pale nisipokuwepo katika himaya yangu. Ukijiongezea thamani kama mke ipo siku mumeo atajishusha na kukuheshimu.
 
Back
Top Bottom