Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu, msaidizi pale unahitaji. Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi.
Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa na kupendwa.
Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia, kapeti na kila kitu.
Kupika kufua na watoto. Mke huakikisha watoto wote wasafi, wanafya, wanakula, wamefanya majukumu yao ya kila siku.
Pia anahakikisha hivyo hivyo kwako. IlA shukurani ni unampiga unamletea shida.
Ila huji kiheshima kwako unakuja kama hapo ni jalalani.
Mtu anakuvumilia anachoka. Kabisa kingine unakuta mtu anachakaa anaonekana bibi kuliko mama mzazi wako kisa manyanyaso .
Mwache akapendwe kunawengine wanampenda na kumdhamini.
Ndio maana jana nilipewa na mtu idadi ya watu walioona wameachana na ni zaidi ya ndoa laki 2 za juzi tu.
Kisa hicho hamuappreciate mnayofanyiwa.
INATOSHA