Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...


Kama bado haujaolewa Utakuja fika wakati unaweza ukajikuta unabadilisha kauli yako. Yawezekana haujafika umri bado labda ndo maana wasema hivyo.
 
Usibadilike...tafuta mwanaume wa level yako anayeweza kuhimili arguments...asiye na inferiority...
Mboni wapo tu...(mf. humu JF Nyani xxx)

Duuuh naona wanaume wengi hawapendi ubishi.....ngoja nione kama ntaweza kubadilika lol
 
Wanawake mnatakiwa kujua vigezo vya wanaume hubadilika kila leo!
 
aiseeeee umenikumbusha ofisin aseeeee kuna mkaka aliachanaga na demu wake wa hapahapa ofisin basi sikuhiz wakikaa wakaka zaidi ya wawili utasikia sikuhiz wakuolewa ni form 4 na std 7 tu na kidoooooooogooooo diploma......si wadada kimyaaaaa hata hatuchangii mada basi unakuta wanasapotiana wenyew kwa wenyewe ........nahis ndio wanaoweza vumilia
miaka medal rudi
 
Aiseee!!! Ni jambo ambolo kila mmoja ana mtazamo wake juu ya anayempenda!! Inawezeka anapenda urembo,unene,ufupi nk lakini mwanamke anayetakiwa ni yule mvumilivu,mwelewa,na mbunifu!!!!!
 
Usibadilike...tafuta mwanaume wa level yako anayeweza kuhimili arguments...asiye na inferiority...
Mboni wapo tu...(mf. humu JF Nyani xxx)

Hahaaa nashukuru nyumba kubwa japo mfano wako sijaupenda.....tena afadhali hujamensheni
 
Hao watakuwa ni members wa JF...wale ambao hawawezi kuchanganya za kuambiwa na zao...

 
Daah umeandika ukweli mtupu.
 
Mimi binafsi ukianza kufanya majukumu ya mke wakati sijakuoa ndoa utaisikia kwenye bomba tu. Of coz unaweza kufanya mawili, matatu lakini sio sasa inafikia mahali kunakuwa hakuna tofauti ya wewe na mke wa ndoa. Hujiamini hadi uanze kujipendekeza?
 
Msichana anayekuwepo kwenye mahusiano motomoto ndiye anayeolewa kama tu mvulana aliye naye ndo kapanga kumuoa huyo msichana.kama wakat ww kuoa kwa mvulana haujafika basi huyo msichana atakuwa anapata tuition.
 
utajuaje...mfano mimi hakuna hata mtu mmoja anayenijua na anayejua kuwa ni member JF...

because mimi ndio huwa nkiingia jf nawasomea baadhi ya threads kwa sauti then wanaanza kujadili na kucheka halafu nawao wanatamani kukoment hivo hawawez koment kwakua sio memba...pia unaeza kuta muda mwingne mi nipo bize na yangu kwenye cm wao wanadhani nipo jf wananiuliza nije tusome wote???
 

Hata mimi huwa nasomewa na kucheka...na ku pretend as if siyo member...nikiwa peke yangu ndio na log in
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…