Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

1.UPENDO 2.UAMINIFU 3.USHIRIKIANO 3.KUSAIDIANA 4.KUESHIMIANA 5.KUHURUMIANA 6.KUVUMILIANA.Hiyo ndio misingi 6 ya ndoa kama hakuna na ndoa hakuna.
 
Hiyo sentensi ya mwisho huwa inanisikitisha na kunisononesha mno!!, mnooo!!!

Eti"thamani ya mwanamke ni ndoa", kweli?, hao wanawake wasio na ndoa hawana thamani?

Hakuna wa kuwaoa sasa, wafanyeje?, wanaende kwa waganga au wajiue? Maana umesema hawana thamani!!

Hiyo mitazamo ya kijinga kabisa inayoshusha utu wa binadamu tuipinge kwa nguvu zote.
 
Mwanamke kwanza......
Akiwa ni mwanamke mwenye akili akanipa tulizo la moyo ,wakapatikana watoto akawatunza kwa dhati Mimi kazi zitaenda na fedha zitapatikana tu.
Ila ukipata majanga ,imekula kwako.

Kwa walioko ndoani put first your family (mwenzi wako na watoto) , utakuwa ni mwenye amani sana km na mwenzi wako naye atakuwa km wewe.
 
Kigezo cha kwanza kama ni member wa jf anatakiwa a-log off moja kwa moja, sitaki uvae vipedo, kama unatumia iphone, galaxy na masimu mengine ya bei juu uziuze mapema kabla sijakujua(yaani uwe analojia).
Kama unafanya kazi ya serikali au kwenye taasisi yoyote ile uwe tayari kuacha baada ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa maana nahitaji mwanamke atakayeweza kusimamia familia bila kubanwa na majukumu mengine.
Uwapende ndugu zangu kama unavyonipenda.
Mwanamke anayeiga maisha ya watu hafai kuwa mke.
 

Leo yamenikuta kama yako pole sana aiseee... i hope utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…