Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

1.UPENDO 2.UAMINIFU 3.USHIRIKIANO 3.KUSAIDIANA 4.KUESHIMIANA 5.KUHURUMIANA 6.KUVUMILIANA.Hiyo ndio misingi 6 ya ndoa kama hakuna na ndoa hakuna.
 
Hiyo sentensi ya mwisho huwa inanisikitisha na kunisononesha mno!!, mnooo!!!

Eti"thamani ya mwanamke ni ndoa", kweli?, hao wanawake wasio na ndoa hawana thamani?

Hakuna wa kuwaoa sasa, wafanyeje?, wanaende kwa waganga au wajiue? Maana umesema hawana thamani!!

Hiyo mitazamo ya kijinga kabisa inayoshusha utu wa binadamu tuipinge kwa nguvu zote.
umeshawahi kumkuta muuza njugu(karanga) akakuonjesha halafu ukaacha kununua..Je kosa ni la nani? muuza karanga au wewe uliepewa kuonja halafu ukaacha kununua?...kikawaida biashara zote ambazo mtu anapewa ruhusa ya Ku test kabla kununua..nafasi ya kufanya biashar huwa 50:50 kwa hio acheni kusikitika....Pia eleweni thamani yenu....Kumbuka wazazi wako walikuzaa na kukulea..walikuvisha nguo muda wote...iweje leo umekua mtu mzima aje mtu aanze kukuvua nguoa bila ya ridhaa ya waliokufundisha kuvaa nguo(wazazi)?...Ni vyema mwaname ukampeleka kwa wazazi kabla hujampa iyo nanihii yako...Vyenginvyo ukimpa karanga kuonja akagundua kumbe uliweka chunvi nyingi...au zinatoa harufu za kuoza...usimlaumu anapoamua kwenda kwenye korosho na kukuacha na karanga zako ukiendelea kuwapa wengine waonje...."Thamani ya mwanamke ni ndoa"
 
Mwanamke kwanza......
Akiwa ni mwanamke mwenye akili akanipa tulizo la moyo ,wakapatikana watoto akawatunza kwa dhati Mimi kazi zitaenda na fedha zitapatikana tu.
Ila ukipata majanga ,imekula kwako.

Kwa walioko ndoani put first your family (mwenzi wako na watoto) , utakuwa ni mwenye amani sana km na mwenzi wako naye atakuwa km wewe.
 
Kigezo cha kwanza kama ni member wa jf anatakiwa a-log off moja kwa moja, sitaki uvae vipedo, kama unatumia iphone, galaxy na masimu mengine ya bei juu uziuze mapema kabla sijakujua(yaani uwe analojia).
Kama unafanya kazi ya serikali au kwenye taasisi yoyote ile uwe tayari kuacha baada ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa maana nahitaji mwanamke atakayeweza kusimamia familia bila kubanwa na majukumu mengine.
Uwapende ndugu zangu kama unavyonipenda.
Mwanamke anayeiga maisha ya watu hafai kuwa mke.
 
Mwanamke kwanza......
Akiwa ni mwanamke mwenye akili akanipa tulizo la moyo ,wakapatikana watoto akawatunza kwa dhati Mimi kazi zitaenda na fedha zitapatikana tu.
Ila ukipata majanga ,imekula kwako.

Kwa walioko ndoani put first your family (mwenzi wako na watoto) , utakuwa ni mwenye amani sana km na mwenzi wako naye atakuwa km wewe.

Leo yamenikuta kama yako pole sana aiseee... i hope utanielewa
 
Back
Top Bottom