Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Umeona ee mama

Mama kama ni ile ya mengi nami nitaenda lushoto kwenye upepo na hali ya hewa nzuri; ntashusha dude kama lile japo si Leo wala kesho ila ipo siku. Nia ninayo nivumilie tuu huu mda wa kulia juani
Nipo nawe kwenye shida na raha babake!
Ukipata tuu usiniikimbie wa ujana wako jamani!
 
Nipo kundi la tatu
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.

KUNDI..... 1.....

Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.

KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.

Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?



Location :Hombolo village Dodoma.
 
Back
Top Bottom