Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Vinauli vyetu vyote jamaa kavikusanya ndani ya dakika.Ahahahahah aiseeeeeh3
Kweli mjini chuo kikuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinauli vyetu vyote jamaa kavikusanya ndani ya dakika.Ahahahahah aiseeeeeh3
Vinauli vyetu vyote jamaa kavikusanya ndani ya dakika.
Kweli mjini chuo kikuu
Sasa kwanini usimshtaki kwa kalumanzila wako amtoe kishipaAcha tu ila lazima alipe hapa nimetulia tu namtengenezea bomu usjali
Huwa unaenda kuwinda wapiMi sipo kundi lolote na bado silali njaa...
Sasa kwanini usimshtaki kwa kalumanzila wako amtoe kishipa
Demiss nilikuona pale Kimvi ndo wewe yule??
Kuna ambae hana pesa na sio handsome... ila kwenye 6*6 yupo vzur
Nipo nawe kwenye shida na raha babake!Umeona ee mama
Mama kama ni ile ya mengi nami nitaenda lushoto kwenye upepo na hali ya hewa nzuri; ntashusha dude kama lile japo si Leo wala kesho ila ipo siku. Nia ninayo nivumilie tuu huu mda wa kulia juani
Leo naomba niwe muwazi kwenu wanaume.
Nataka niwape siri moja wanawake wanayoificha mkae mjijue mpo kundi gani?
Kwa hapa bongo wanaume wanaopendwa na wanawake wapo katika makundi mawili tu.
KUNDI..... 1.....
Huyu ni mwanamme ambaye mwanamke amempenda kwa dhati haijalish unampa pesaa,haijalishi hauna kazi au una kazi yani hata kama huna pakukaa ila jua tu mwanamke ameamua kukupenda.
Chochote utakachohitaj kwa mwanamke utapewa yan hiyo inamaanisha amekupenda tu mwenyewe kwa dhati hata kama humfikishi kileleni yeye anakupenda tu.
Kila mwanamke ana mwanamme wake anayempenda yawezekana anakupenda uwe naye kwa fashion labda kwa marafiki zake ndugu n.k.
Pia huwez kuona mwanamke anakuomba hata senti tano inatokea mara chache sana muda mwingi anataman muwe wote mtoke out yani hata mtaani lazima atahitaji muwe wote.Piah atakulazimisha umuoe jua mwanamke anakupenda anataman kuishi na wewe kwa sababu atakuwa na furaha kuishi na mtu anayempenda.
KUNDI.....2....
Wanaume wenye pesaaa namaanisha wahongaji wale wasio wabahili wanaotoa pesaaa.Hakika hakuna mwanamke hapendi kuwa na mwanamme huyu labda awe na mwanamme wa kundi la 1 ila jaman wanaume wa kundi hilii wanapendwa sijapata kuona. Wengi waoo wanakuwa vizee na waume za watuu. Yani huwa wanapendewa pesaa na si chochote hata kileleni asipokufikisha wewe hujali unachojali pesaaa.
Akitokea kijana hajaoa na ana helaa uwiii huwa anasakwa na wanawake kama Rupia.
Nyongeza:
Mliobaki mpo kundi gani?
Location :Hombolo village Dodoma.
Ulinifananishaaa
Demiss mbona unatutega, Lakini una tako laini.
Hahaha siwezi kuwa profesa kapuya Mimi;Nipo nawe kwenye shida na raha babake!
Ukipata tuu usiniikimbie wa ujana wako jamani!
hahaha ata aminiji kama hauna kweliHiyo avatar tu hata tako lenyewe mbn sina
Hahaha hahahaHahaha siwezi kuwa profesa kapuya Mimi;
wa njiani hawaaminiki wa naweza kaja kunisukuma wakadai nimedondoka mwenyewe
Majibu gani ya gugle ayo mama akeHahaha hahaha
Mie nahisi majibu yako unayatoa google babake!
Mie nakuombea tuu jamani ufike pale ulipopanga kufika!
Baki njia kuu babake!Majibu gani ya gugle ayo mama ake
Watu wa njiani si wa spot spot sio kama yule ambaye amaeshuhudia husslez zako ana kuwa na huruma na uchungu na wewe
Niko njia kuu mama akeBaki njia kuu babake!
Hao wengine wakutamani tuu jamani!