Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Kila binadamu anataka kuwa na kitu kipya anachodhani ni bora kuliko alicho nacho, au anataka maendeleo au maboresho (upgrade).
Tabia hiyo wakati mwingine hutufanya binadamu tuishie kuwa na vitu ambavyo havikuwa sahihi kwetu katika kutuletea furaha ya kudumu. Kuna wakati mwingine tena mara chache inatokea bahati vinakuwa ni chaguo bora.

Baada ya muda mfupi utaona hivyo vipya havija kamilika, unahitaji vitu vya ziada hivyo unaenda kutafuta vingine na vingine.
Vitu ( au badala ya vitu weka watu/wenza) vingi huwa vinaonekana haviendani na wakati, hivyo tunataka kufanya mabadiliko tuendane na mazingira ya wakati husika.

There's actually a theory for why this happens. It's called The Diderot Effect.
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Vivuruge Wengi ni "Feni mbovu".
 
Usiasahau pia binadamu tunataka matukio visa na mikasa mipya maishani ili tujisikie tupo wazima na timamu, tusijisikie kuchoshwa (bored).

Wanawake wengi waliotulia hawana hii hii mikasa na visa vya amsha amsha kama wale micharuko.
Hii inatokea kwa pande zote za jinsia.
 
Mabahria huwa tupo kama Nzi tunatua kila sehem but kilichopo sehem tulotua ndo kinatufanya tu weke kambi au tuendelee na safari.
Kwa kujibu swali lako : me binafsi napenda mwanamke anaeweza cheza vizuri na akili yangu I'mean aweze juwa nn Nataka , kwann nataka na nini sitaki na kwann sitaki. Lakini pia wanaume tunapenda kusikilizwa na kutiiwa yan but wadada wa sasa na hizo bachelor zenu basi hamtaki kupelekwa eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidada ee tunatofautiana sana mahitaji... ....

Ndio maana kuna aina mbali mbali za watu mfano warefu,wafupi,wembamba,wanene,wapole,n.k

Nafikiri hao wote wana mahitaji tofauti tofauti.

Kuna andiko linasema ..."enyi wake watiini waume...."

Nafikiri pia moja ya kigezo ni utii na ieleweke hapa utii huo uweunaohusiana na matakwa ya mwenyez Mungu.

NB:
"Tunaoa tabia sio sura"
 
Mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja

Unaweza kupata a perfect wife you wish to have lakini baadae ukatamani tu kula nyama nyingine ambayo hata viwango inaweza kuwa haifikii ya mke nyumbani..

So ni ngumu kusema wanaume tunataka nini..kuna wanaotulia lakini wanadriviwa na mambo mengi kufanya hivyo,mfano bad experience,kuogopa magonjwa,kipato kidogo n.k
 
Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi

ukimaliza kumsikiliza huyu utajua tunataka mwanamke wa aina gani
 
Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
wanawake wanatabia ya kusema naomba 20k, 30k Maanina

awali nilijua anataka laki 2, mwingine akasema 30k mamaae, nikagugo
What does 20k mean?


What is 40k in money?

What is 25k in money? Up

Why K means 1000?

Sasa 20*1000 = 20,000/-
 
Back
Top Bottom