Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sisi Wakatalunya ni kama Messi vile Maisha yetu yote Mwanamke mmoja tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji38] kumbe tupo wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi Wakatalunya ni kama Messi vile Maisha yetu yote Mwanamke mmoja tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vivuruge Wengi ni "Feni mbovu".Hi guys,
Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!
Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!
Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i
Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Naam. Nakuja.
Naona unaenda kumalizia ubishi wako wa kule Zurri.Naam. Nakuja.
Dokezo : Kwanza sisi wanaume tunapenda sana kuliko nyinyi.
Narudi.....
Hapana kule tunaeleweshana, kueleweshana kwa aina yake.Naona unaenda kumalizia ubishi wako wa kule Zurri.
Naona unaenda kumalizia ubishi wako wa kule Zurri.
Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Halafu haishiwi na maneno. Niliwahi kumjaribu siku moja, sikufika mbali nikaaga mabishano. Ubishi ni kipaji nahisi.Huyo jamaa Mbishi sana ananikumbusha jamaa yangu mmoja hivi yeye ni mbishi live live si kwa maandishi
wanawake wanatabia ya kusema naomba 20k, 30k MaaninaSis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Daaah.Huyo jamaa Mbishi sana ananikumbusha jamaa yangu mmoja hivi yeye ni mbishi live live si kwa maandishi