Daaah.Halafu haishiwi na maneno. Niliwahi kumjaribu siku moja, sikufika mbali nikaaga mabishano. Ubishi ni kipaji nahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah.Halafu haishiwi na maneno. Niliwahi kumjaribu siku moja, sikufika mbali nikaaga mabishano. Ubishi ni kipaji nahisi.
Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Most men wanaamini katika sex over everthing else, hiki ndicho wanacho amini lakini sio uhalisia, therez more to life than just sex. Siku ina masaa 24, ukichunguza zaidi ya 90% ya siku haitumiki kufanya mapenzi.Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Namtafuta Wa aina hii nikimpata nampa maupendo 100000%kwangu asieomba ela anatosha
Umepita mle mle , hapa hata mm lazima unishiekee. Watasema umenipa limbwataKuwa msafi
Usimpazie sauti mwanaume
Usiwe mjuaji Sana
Usiombe pesa
Ukifanya hvyo vyote na mwanaume asitulie basi atakua amelogwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa Mbishi sana ananikumbusha jamaa yangu mmoja hivi yeye ni mbishi live live si kwa maandishi
Binafsi huwa napenda mwanamke awe na reception nzuri,msafi,ambae hata nikimnunulia kanguo katampendeza awe mjanja yani,Chura kwangu sio priority kiivo, ila kubwa kuliko yote awe tayari kusapoti kile ninacho kifanya na nikiwa busy aelewe ni kwasababu yake...Hi guys,
Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!
Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!
Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i
Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Sijakuelewa hapa una maanisha nini ?Zurri ubishi wake unategemea na mtu....atakuwa mfupi sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa ufupi sisi huwa tunapenda yule mwanamke ambae tukigombana anakuwaje.Hi guys,
Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!
Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!
Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i
Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Sijakuelewa hapa una maanisha nini ?
Mimi wa kati na kati.Nimeuliza je wewe ni mfupi?
Khaaa!!Mimi wa kati na kati.
Ata sisi hatujui..! Mke mzuri ni yule unayemuelewa wakati huo basi.Hi guys,
Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!
Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!
Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i
Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Nini shida tena ?Khaaa!!
Njoo unichukue nitakueleza kila kitu..Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Halafu haishiwi na maneno. Niliwahi kumjaribu siku moja, sikufika mbali nikaaga mabishano. Ubishi ni kipaji nahisi.
Inasemekana....ila nina ubishi na kimo chakoMadam Good kwahiyo sisi vijeba/wafupi ndiyo tunakuwaga wabishi
Inasemekana....ila nina ubishi na kimo chako