Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

Sis utasababisha nikeshe nafatilia comments za huu uzi!
Kwakweli hata mimi natamani kujua hawa kaka zetu nini kinaweza fanya wakatulia sehem moja na kuwekeza maupendo yote hapo maana hua sielewi
Most men wanaamini katika sex over everthing else, hiki ndicho wanacho amini lakini sio uhalisia, therez more to life than just sex. Siku ina masaa 24, ukichunguza zaidi ya 90% ya siku haitumiki kufanya mapenzi.
- Anapo amini katika sex uhalisia wa kujichanganya unakuja kuonekana kwenye 90%, hapo ndipo anaamua kujikataa and the cycle begins again[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Binafsi huwa napenda mwanamke awe na reception nzuri,msafi,ambae hata nikimnunulia kanguo katampendeza awe mjanja yani,Chura kwangu sio priority kiivo, ila kubwa kuliko yote awe tayari kusapoti kile ninacho kifanya na nikiwa busy aelewe ni kwasababu yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Kwa ufupi sisi huwa tunapenda yule mwanamke ambae tukigombana anakuwaje.

Naendelea.....
 
Hi guys,

Poleni na harakati za hapa na pale katika kupambana kuyaokoa maisha, naomba mpambane kiukweli kweli guys, this sh*t is so crazy and serious.!!

Enwei, Naomba mnijuze wanaume huwa mnavutiwa na wanawake wa aina gani?? Sababu wengi wenu huwa mnadai mnataka very straight, humble, honest and this wifey kinda, bado mkiwapata mtawasumbua hatari.!

Lakini cha kushangaza huwa mnaenda kuteseka na kuchanganyikiwa kwa hawa naughty, 'vivuruge', complicated creatures and bad girls..!!i

Hivi ni huwa mnaboeka na good girls ama ni nini..!? What's the secret behind it eti..!?
Ata sisi hatujui..! Mke mzuri ni yule unayemuelewa wakati huo basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu haishiwi na maneno. Niliwahi kumjaribu siku moja, sikufika mbali nikaaga mabishano. Ubishi ni kipaji nahisi.

Kabisa huyo jamaa hata muwe 6 yeye mmoja anabishana na wote, kuna siku nakumbuka alianzisha mada akidai kwamba wachina wanaweza pewa miezi mitatu ili kuhamisha milima uruguru kutoka morogoro kuipeleka Dar, sasa tukamwambia haiwezekani alibisha hii siku

Ubishi ni kipaji kweli
 
Kwa sisi wanaume kucheat na viruka njia haimaanishi hatukupendi wewe humble, honest na wifey kinda.

Kwetu ngono tunaifanya kila tunapopata fursa ndiyo maana twaweza hata kutoka na watoto wa sekondari na wakati tuna familia. So yeah tunapenda tumpate mwenye hizo sifa ila kabinti kalikobinuka na tattoo kiunoni akitokea naye atasombwa na mafuriko
 
Back
Top Bottom