Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject

Hahahaaa hii kali ya 2015,ngoja uone watakavyokupinga-akitokea dada yupo above 30 ..anatafuta mchumba,wanarusha mawe weeee kumbe wanajifariji huko mtaani wamekataliwa...mnh...haya bwana...
 
ila kweli japo sio wote ,ila kukatishana tamaa is not gud watu tujaribu kuangalia kwa upande mwingine yule aliyeandika kutafuta mchumba yuko serious kiasi gani mpka kuandika hvyo, na ile kuweka vigezo ni sawa kwan hakuna mtu humu asiyependa mtu wa aina yake anayemtaka yeye. ni hvyo tu
 
Mada inaukweli kiasi fulani. but ukweli huo ni mdogo kiasi cha kutokidhi haja ya kuanzishiwa mada. mleta mada kajiangalia mwenyewe na kutaka kutufananisha naye. We are not the same.
.....

Mkuu mimi nimetumia inclusiveness tu ila haina maana mimi ni mmoja wao,

Nina sifa zote na za ziada wanawake wanazozitaka.

Ukweli ni kwamba most men hapa wako reject.

Soma mada zao,ni kulia lia tu,kulalamika. Hiyo ni ushahindi kua wako reject in real life.
 
Wewe ni muongo uliopitiliza maana wengi tunakuja huku kuburudisha macho na kupotezea muda wala hatuna mahitaji unayotuambia
 
Habari.

Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tulioko MMU.

Kwa muda ambao nimekua mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.

Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.

Nenda love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.

Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?

Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.

Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.

Nataka appointment na wewe
 
Hahahaaa hii kali ya 2015,ngoja uone watakavyokupinga-akitokea dada yupo above 30 ..anatafuta mchumba,wanarusha mawe weeee kumbe wanajifariji huko mtaani wamekataliwa...mnh...haya bwana...

kazi zao ni kasifa kwa mabinti lakini ukweli ni kwamba wako rejected mtaani.

Kazi yao ni kulalamika lalamika tu,kulia lia sana. Wewe nenda love connect uone,mabinti wanataja vigezo vya kawaida sana eti hawana. Wanaishia kumwambia ajiumbie mwanaume wa jinsi anavyotaka.
 
Back
Top Bottom