sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 719
hahahaha eti ametumia neno reject,hivi maana yake ndo nini?au ana tezi dume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari.
Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tulioko MMU.
Kwa muda ambao nimekua mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.
Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.
Nenda love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.
Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?
Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.
Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.
Inaonyesha mleta uzi yuko period ndiyo maana anapost utumbo.
na wanaume wengi wanaolialia hawana mvuto wala ela wapo tu kuponda wanawake utafikili wao wamekamilika
Acha hela,sifa za asili ambazo wanawake huwa wanazitaka hawana.
Mimi ni me, nataka appointment na wewe kwa sababu najua ukiona utagundua kama uliandika utumbo.
Na naweza kuwahakikishia hilo.........ngoja waniulize........
Mimi ni me, nataka appointment na wewe kwa sababu najua ukiona utagundua kama uliandika utumbo.
Habari.
Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tulioko MMU.
Kwa muda ambao nimekua mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.
Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.
Nenda love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.
Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?
Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.
Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.
Inaonyesha mleta uzi yuko period ndiyo maana anapost utumbo.
Acha hela,sifa za asili ambazo wanawake huwa wanazitaka hawana.
Utafiti wako hauna empirical evidence - numbers or quotes, pia umetumia njia moja tu ya kupata data ambayo sio sahihi sana kufikia reality.
Sio kweli,hakuna mahala nimesema nimefanya utafiti,nimesema mtazamo wangu au maoni yangu,sio utafiti.