Wanaume wengi tulioko JF hasa MMU ni reject


Labda wa huku mkoani, ila ea daslam wote hensam. Nianze kuwataja???

Lols.....

Ngoja ninyamadhe tu!!!
 
Mimi ni me, nataka appointment na wewe kwa sababu najua ukiona utagundua kama uliandika utumbo.

Aisee,wewe ni me?hebo ngoja ninywe maji nije.

Umesema wewe ni me,unataka tuonane nione kama una sifa au ni mzuri,real?unataka nikuone kisha nije kukusifia humu?

Tafadhali,nina mpenzi wangu na ana wivu sana. Ushauri,nenda mombasa mkuu ndio wanawatafta watu kama wewe.
 
Kwanza salaam kwako“
Pili naona wewe sio mwanamme wewe ni mwanamke“kama ungekua mwanamme kweli usingeandika hayo ulioandika”kama kukataliwa kuwa reject ni wewe na kwenu huko`
Tatu kinachoonekana wewe ni bwana mdogo sana hata definition ya what is life hujui`fahamu wanaopitia mitandao wapo watu wa aina mbalimbali na kazi mbalimbali wengine wapo na familia zao wengine wafanyabiashara”wengine kwenye taasisi mbalimbali” wengine wehu kama wewe”
Kwa hiyo usirealize kuwa watu wako kama ulivyoandika”
Inavyoonyesha wewe unatafuta wanawake humu thus why umeandika hivyo”
Jitahidi kama mwanamme uwe kamili ila kama ke sawa tu ndiyo zenu”
Mwisho kumbuka jinsia moja hua hazipondani wewe nahisi ni jinsia ke•
 
Leo ni leo Asprin kuna mtu anahitaji dawa ya maumivu
 
Last edited by a moderator:

Utafiti wako hauna empirical evidence - numbers or quotes, pia umetumia njia moja tu ya kupata data ambayo sio sahihi sana kufikia reality.
 
Mmmmh ngoja nijiunge kwanza MMU ndio nitakua na cha kuchangia. Naweza kuleta humu ya jukwaa la kusini mwa dunia bureee wakati huku kuna BAN.
 
Utafiti wako hauna empirical evidence - numbers or quotes, pia umetumia njia moja tu ya kupata data ambayo sio sahihi sana kufikia reality.

Sio kweli,hakuna mahala nimesema nimefanya utafiti,nimesema mtazamo wangu au maoni yangu,sio utafiti.
 
Reject? Kivipi?! Tumekuwa rejected na wadada au??...! Aisee..
 
Sio kweli,hakuna mahala nimesema nimefanya utafiti,nimesema mtazamo wangu au maoni yangu,sio utafiti.

Umesema ni mtazamo wako ndio LAKINI yaliyofuata ni ushahidi kuwa mtazamo wako ni kitu cha kweli, na umeonyesha jinsi ulivyotafuta ushahidi huo. Kama hujafanya utafiti unasemaje 'umegundua'?! Unasemaje 'idadi kubwa'?! 'nenda Love connect' maanake unatoa ushahidi - yahani huko kuna data na unataka mtu anayepinga matokeo yako na argument yako a-replicate study yako kwa kutumia data zilizopo huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…