Utakua hujui ulichokiandika au hukuelewa ulichokiandika
wewe kama unajua humatch na vigezo alivyoweka mtu kwa nini ukashfu au uponde? uwe unatumia akili yako vizuri kuwaza kabla hujapost humu.
Jumatatu siku ya kazi asubuhi na mapema mwanaume unaanzisha mada za mapenzi.
Nchii hii ina hatua kubwa kupiga vita umaskini
Hahahaaa hii kali ya 2015,ngoja uone watakavyokupinga-akitokea dada yupo above 30 ..anatafuta mchumba,wanarusha mawe weeee kumbe wanajifariji huko mtaani wamekataliwa...mnh...haya bwana...
But sometimes vise versa is true.jf is never borering!
Kumbe leo umegunduaje.....?Siku zote nilijua wewe ni mwanaume!!!!!!!!!!!!!!
mwanaume unakuja mtandaoni kupoteza muda huku wenzako wanakuja kuwinda popo....Wewe ni muongo uliopitiliza maana wengi tunakuja huku kuburudisha macho na kupotezea muda wala hatuna mahitaji unayotuambia
kweli hayo uyasemayo mkuu? Agata?na wanaume wengi wanaolialia hawana mvuto wala ela wapo tu kuponda wanawake utafikili wao wamekamilika
duuu....Inaonyesha mleta uzi yuko period ndiyo maana anapost utumbo.
Kwahiyo unataka nawe ukaunge cheni...mpige mande / mnyororo?Mkuu na mimi naomba collabo huyu katuzarau sana!
Labda mdau mleta mada naye ni "reject" katika English , huwezi jua.Teh teh unajifunzia English JF...!
Karibu sana Mr. 'Reject'
Uwe unasoma vizuri mada mdogo wangu,usikurupuke,hapo tu umeonyesha uwezo wako wa akili ukoje alafu unataka kujifanya unawaza maendeleo,hatari sana. alafu tutegemee watu kama wewe ndio walete maendeleo?
Hunipangii cha kuandika,najisikia kuandika chochote wakati wowote siku yoyote.
jf is never borering!
sidhani kama umewaza sawa, nachojua mwanamke ili amkubali mtu she must appreciate something from him, hivyo vitu anavyovitaka yeye haviwezi kumfanya huyo mwanaume aitwe reject. kama atakataliwa na kila mwanamke we can call him rejected person lakini nachojua hakuna mwanaume anakataliwa na kila mwanamke, huyu atakuacha yule anakutaka hata cc kuna watu tuawachukulia poa lakini kuna sehemu wanakua accepted so tuombe radhi mkuu.Habari.
Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tuliopo MMU.
Kwa muda ambao nimekuwa mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu ni reject mtaani.
Idadi kubwa ya wanaume humu huwa ni kulalamika tu hawakubaliki,wameachwa,hawapati wachumba nk japokua idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,huwa najiuliza hao wanawake wasiopatikana ni wapi? Nimekuja kugundua kwamba vidume wenzangu humu wengi ni reject,hawana sifa wanawake wanazozitaka.
Nenda Love connect,mwanamke ataandika anataka mwanaume,akaambatanisha vigezo vichache,tena vya kawaida sana lakini ataishia kukatishwa tamaa na wanaume kua vigezo hivyo ajiumbie mwanaume wake maana hawezi kumpata.
Utakuta mwanamke kaandika anataka mwanaume mrefu,mwenye elimu kuanzia Diploma,miaka 30,awe na ajira au kazi binafsi,masharti ya kawaida kabisa,ataishia kuambiwa ajiumbie,najiuliza kweli watu wenye sifa hizo au zaidi hawapo MMU?
Maana yake ni kwamba wanaume wengi wa humu ni wafupi,wasio na kazi,walioishia sekondari.Sasa nimekubali kwamba wengi wetu humu ni reject.
Hebu tuangalie mfano hapa
Huyu dada kaandika anataka mume
Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu
Angalia na huyu hapa
Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu
Hebu niambieni watu kama hao kwa nini wasiitwe reject,vigezo gani hivyo vya kulalamika kwamba mwanamke ajiumbie mwanaume wa namna hiyo,ina maana watu wenye sifa hizo hakuna humu?
Teh Teh
Mbona umepanic mkuu
Teh Teh
sidhani kama umewaza sawa, nachojua mwanamke ili amkubali mtu she must appreciate something from him, hivyo vitu anavyovitaka yeye haviwezi kumfanya huyo mwanaume aitwe reject. kama atakataliwa na kila mwanamke we can call him rejected person lakini nachojua hakuna mwanaume anakataliwa na kila mwanamke, huyu atakuacha yule anakutaka hata cc kuna watu tuawachukulia poa lakini kuna sehemu wanakua accepted so tuombe radhi mkuu.
Hebu tuangalie mfano hapa
Huyu dada kaandika anataka mume
Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu
Angalia na huyu hapa
Ona baadhi ya wanaume wanavyojibu
Hebu niambieni watu kama hao kwa nini wasiitwe reject,vigezo gani hivyo vya kulalamika kwamba mwanamke ajiumbie mwanaume wa namna hiyo,ina maana watu wenye sifa hizo hakuna humu?
tena sana tu...
Ina maana mkuu wataka kusema wanaoshinda humu ni wanaume wa dar tu...?
Anyway, naona watu wamepanic sana,nimerusha mshale gizani sasa nasikia mikelele watu wanagugumia kwa maumivu.
Wanaume wenzangu acheni kulalamika,kueni wanaume vinginevyo lazima uwe reject.
- Kwanza sijasema wanaume wote,nashangaa vilaza wasiojua kusoma vizuri wanakuja hapa kunituhumu minetukana wanaume wote,kama unajua umeguswa sema wewe umeguswa sio wanaume wote.
- Mimi ni mwanaume ,hilo haliondoi haki yangu ya msingi ya kutoa maoni kuhusu yoyote awe mwanaume au mwanamke,haiwezekani wanaume wazima mje kulalamika lalamika humu kama watoto kwa vigezo vya kawaida wanawake wanavyotaka alafu mzuie watu kutoa maoni,huo utakua ni ujuha wa hali ya juu
- Kama unajua wewe sio reject hii topic haikuhusu
- Mimi sio supu ya mawe.
- Kama umeoa na ukalalamika kuhusu hii topic una matatizo,soma uelewe muktadha wa mada hii,ni kwa wanaume ambao wanalalamika humu kila siku kua wanakosa wapenzi/wake wa kuoa,wanaachwa nk,kama umeoa haya yanakuhusu vipi?