Bora wewe umejibu vizuri, nashangaa kuna baadhi ya wanaume huku wanakasirika na kuniita shoga, inaonekana ukweli unawauma π, biblia yenyewe inakiri kuwa yusufu alikua na sura nzuri Hadi akatongozwa na mke wa potifa ndo tuseme mwandishi wa kitabu cha mwanzo aitwae Musa alikua ni upinde.
mshamba_hachekwi