Wanaume wengi tunajipa moyo kuwa uzuri wa mwanaume upo mfukoni, sababu tunajijua muonekano wa wengi wetu ni mbovu

Wanaume wengi tunajipa moyo kuwa uzuri wa mwanaume upo mfukoni, sababu tunajijua muonekano wa wengi wetu ni mbovu

Mleta Mada we hujielewi na hujitambui na Uzuri au muonekano wa mtu hutokana na mtazamo wa mtu. Remmy Ongara alioa mzungu pamoja na kwamba katika watanzania wenye sura mbaya kwenye top 3 alikuwemo.

Bado una akili na mitazamo ya kitoto sana.
Angalia avatar yake šŸ˜‚

Huyu anapandwa huyu
 
Bora wewe umejibu vizuri, nashangaa kuna baadhi ya wanaume huku wanakasirika na kuniita shoga, inaonekana ukweli unawauma 😁, biblia yenyewe inakiri kuwa yusufu alikua na sura nzuri Hadi akatongozwa na mke wa potifa ndo tuseme mwandishi wa kitabu cha mwanzo aitwae Musa alikua ni upinde. mshamba_hachekwi
Dogo una tabia za kishoga kabisa halafu na uwezo wako wa kuchambua mambo ni finyu mnoo. Sasa huyo Musa si aliandika tu kwani yeye ndo alimtamani huyo Yusufu?

Kijana hebu jaribu basi kuwa kama Mwanaume.
 
Back
Top Bottom