Wanaume wengi wa JF mnatia aibu sana, mnajivua utu wenu mno

hahahaha hicho cha lemutuz sijui hata kinafanananje mpendwa sababu sijawahi iona hiyo video so ni ngumu kusema
Chake hakionekani ni kama pana ngozi iliyovimba
Kilionekana kwa msaada wa taulo kujifuta maji
 
mleta mada ni mwanamke ila anajifanya ni mwanaume... kama ni mwanaume atakuwa si riziki. amenishtua sana kwa malalamiko yake.
 
Umeonaeee. Sasa kuanza kulaumu hata havihusiani.

Alaumiwe aliekivujisha hao watazamaji waachwe tu wazungumzie walichokiona sababu wangeifanya siri nani angejua kama ana kiungo cha mboga. Hahahaaaa.
Ahahahaaaaaa
 
mleta mada ni mwanamke ila anajifanya ni mwanaume... kama ni mwanaume atakuwa si riziki. amenishtua sana kwa malalamiko yake.
Hahahaaaa. Analalamika yeye huku mwenye kibamia hana habari. Maisha yanamuendea.
 
hahahaha hicho cha lemutuz sijui hata kinafanananje mpendwa sababu sijawahi iona hiyo video so ni ngumu kusema
Mkuu cha lemutuz acha kabisa ukubwa wa pilipili
 
Chake hakionekani ni kama pana ngozi iliyovimba
Kilionekana kwa msaada wa taulo kujifuta maji
hahahahahaha aisee...mpaka nimepaliwa na mate!
kama ndio hivyo basi nashukuru Mungu mimi sipo huko kwa kweli.
 
Mkuu cha lemutuz acha kabisa ukubwa wa pilipili
😀😀😀😀😀
dah!! hiyo sasa too much mbona hahahaha.

anakitumiaje sasa?? hao mabinti si ndio wanamdanganya tu mhenga wa watu
 
😀😀😀😀😀
dah!! hiyo sasa too much mbona hahahaha.

anakitumiaje sasa?? hao mabinti si ndio wanamdanganya tu mhenga wa watu
Ndio hivyo wanamdanganya na kumpiga mapicha
 
Wanamuonea kumbebesha mzigo wa kibamia[emoji23][emoji23]
hahahahahahah
basi wana dhambi kweli kumdanganya mwenzao kuwa ana kibamia badala ya kinukta
 
Mkuu mbona wewe kama unafuatilia life style yake inakuhusu nini?

Hapa sijaona utofauti wako na wale walio comment kipindi kile..sema wewe umekuja kivingine Zaid kuwaponda wenzako na Ku promote hoja yako!

Ukitaka kua msafi wachie watu waishi maisha yao na wewe fuata yakwako!

WEWE NA WALE WALIOMPONDA MWANAUME MWENZETU NI WALE WALE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…