Wanaume wengi wa JF mnatia aibu sana, mnajivua utu wenu mno


Teh teh teh teh

Yaaani hata ulichokiongea sikielewi mkuu, sijajua hujaelewa nini sasa?
 
Mpuuzi ni yy mtu mzima kupiga / kupigwa picha za uchi na vibinti vitoto vidogo ndio maana havimheshimu, aoe atulie na mkewe aache kupigwa pigwa picha za uchi zinasambazwa mitandaoni aibu aibu aibu aibu bure kbs hovyoooooooooooo
 
[emoji23] [emoji23] bwawa la nyumba ya Mungu hehee watu mna mijinenooo
 
Unaonekana unasress kuliko huyo unaemdhania anastress
 
AF wadada ck hz mkiachana mnaanza kuponda..mwanaume gani,hajui kut....MBA..ana kibamia yan maneno chungu nzma
 
Kakojoe ulale huko,wanawake wangapi wanadhalilishwa hujawahi bandika bandiko la kuwatetea. Kajambe huko
 
Naamini kabisa mwanamke yeyote anayelalamika kuwa jamaa yake ana kibamia, kuna uwezekano mkubwa sana na yeye atakuwa na shimo lenye kina kirefu sana
Lakini ikumbukwe kuwa hao wanawake ndio wana xperience gegedo. Hivyo kuwasemea si vema.
 
hahahahahahah umenena kweli, kujiamini ni silaha kubwa sana kwa mwanaume na sisi wanawake tunataka kuona hili
big up sana
 
Naona umeamua kufukua makaburi mkuu. Watu walishasahau wewe naona umeamua kuanzisha mada upya
 
Mwandiko wa Kilemutuz -Lemutuz huu. Kuwa makini na maandishi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…