Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kile hakikuwa kibamia mkuu. Ni ka nukta (.)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kile hakikuwa kibamia mkuu. Ni ka nukta (.)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Wanamuonea kumbebesha mzigo wa kibamia[emoji23][emoji23]
Mkuu mbona wewe kama unafuatilia life style yake inakuhusu nini?
Hapa sijaona utofauti wako na wale walio comment kipindi kile..sema wewe umekuja kivingine Zaid kuwaponda wenzako na Ku promote hoja yako!
Ukitaka kua msafi wachie watu waishi maisha yao na wewe fuata yakwako!
WEWE NA WALE WALIOMPONDA MWANAUME MWENZETU NI WALE WALE!
We umeuelewa uzi wako?Teh teh teh teh
Yaaani hata ulichokiongea sikielewi mkuu, sijajua hujaelewa nini sasa?
[emoji23] [emoji23] bwawa la nyumba ya Mungu hehee watu mna mijinenoooKuhusu Mange Kimambi mm namtetea 100% kwny harakati zake za kupigania usawa ktk nchi yetu, she's a good fighter..
Kuhusu ugomvi ya Mange na Le Mutuz Hapo Siwezi kuingilia maana wale kwa upande mwingine ni ndg wenye mahusiano ya kifamilia, wanajuana zaidi kuliko sisi tunavowajua!
Kwa upande wa Lemutuz binafsi huwa Namuona fala fala fulani, kubwa jinga aliepoteza mwelekeo wa kimaisha, anajidhalilisha yy na zaidi anamdhalilisha sana baba yake ambae nchi nzima inamheshimu sana kutokana na nyadhifa alizowahi kushika serikalini ikiwemo waziri mkuu na makamo wa pili wa Rais!
Kwetu wanaume inatakiwa tu kujiamini, whether una kibamia au mtalimbo, Mhimu ni kujua namna ya kutumia vizuri kifaa chako, hata km utakutana na bwawa la nyumba yq mungu!
Le Mutuz mobimba..le mutuz nye nye nyeMwandiko wako na jinsi unavyopangilia maneno yako vinafanana sana na huyu jamaa mhanga wa lile tukio
Kokobanga na nye nye nye
Hebu nisaiidie nione hiyo clip ili nichangie mkuu!Mkuu cha lemutuz acha kabisa ukubwa wa pilipili
Lakini ikumbukwe kuwa hao wanawake ndio wana xperience gegedo. Hivyo kuwasemea si vema.Naamini kabisa mwanamke yeyote anayelalamika kuwa jamaa yake ana kibamia, kuna uwezekano mkubwa sana na yeye atakuwa na shimo lenye kina kirefu sana
Ndio kwa uzoefu wangu.Unavyodhani hili la kuwa na kina kirefu watalisema??
hahahahahahah umenena kweli, kujiamini ni silaha kubwa sana kwa mwanaume na sisi wanawake tunataka kuona hiliKuhusu Mange Kimambi mm namtetea 100% kwny harakati zake za kupigania usawa ktk nchi yetu, she's a good fighter..
Kuhusu ugomvi ya Mange na Le Mutuz Hapo Siwezi kuingilia maana wale kwa upande mwingine ni ndg wenye mahusiano ya kifamilia, wanajuana zaidi kuliko sisi tunavowajua!
Kwa upande wa Lemutuz binafsi huwa Namuona fala fala fulani, kubwa jinga aliepoteza mwelekeo wa kimaisha, anajidhalilisha yy na zaidi anamdhalilisha sana baba yake ambae nchi nzima inamheshimu sana kutokana na nyadhifa alizowahi kushika serikalini ikiwemo waziri mkuu na makamo wa pili wa Rais!
Kwetu wanaume inatakiwa tu kujiamini, whether una kibamia au mtalimbo, Mhimu ni kujua namna ya kutumia vizuri kifaa chako, hata km utakutana na bwawa la nyumba yq mungu!
Mwandiko wa Kilemutuz -Lemutuz huu. Kuwa makini na maandishi yako.Majuma machache yaliyopita kuliibuka mijadala mikali sana ya kumdhalilisha mwanaume mwenzetu maarufu sana kwenye tasnia ya burudani hapa nchini kwetu Tanzania jina lake nalihifadhi kwa picha iliyorushwa na mwanamke mmoja mjinga jinga mno, mwenye husda za kipuuzi kwa waliofanikiwa zaidi yake ,asiyependa maendeleo ya wengine, mchawi mchawi sana, na mropokaji aishiye kwa Trump mwenye stress nyingi sana za maisha kutokana na kutofikia malengo yake aliyojipangia kimaisha, na hivyo anaamua kuwaprovoke wengine washindwe kama yeye ili tu kupunguza stress zake za kushindwa kwake kimaisha.
Kimsingi picha zile hazikuwa nzuri kwani ziliingilia privacy ya huyu muhanga mpenda matunuzi kwa kiasi kikubwa sana kwa kumdhalilisha sana na ni dhahiri alionekana kuweweseka sana kutokana na comments zake baada ya tukio lile.
Kilichonishangaza sana ni wengi wa wanaume tena nimewapendelea, vivulana vipuuzi pia viliingia kwenye mtego wa huyo p.imbi wa kwa Trump kwa kumdhihaki mhanga eti kwa kinachosemekana kuwa ana kibamia. Ingawaje huyu jamaa mimi pia huwa napishana nae sana kimitazamo kutokana na life style anayoishi na itikadi yake katika masuala mbalimbali ya kijamii,kisiasa na kiuchumi, lakini kwa hili namtetea kwa nguvu zote.
Naamini kabisa mwanamke yeyote anayelalamika kuwa jamaa yake ana kibamia, kuna uwezekano mkubwa sana na yeye atakuwa na shimo lenye kina kirefu sana linaloweza kumuhifadhi hata joka refu lenye sumu kali sana aina ya koboko kwa urefu wake. Wanawake wenye vina vifupi au vya kawaida wala hawana tatizo na wanaume wahanga wa sampuli ya mhanga nayemzungumzia kwani kimsingi wamejitunza hawajapitiwa na mitalimbo mingi ya tofauti tofauti kama alivyopitiwa huyo mdada wa kwa trump hadi akaachwa na mumewe kwa kuwa inawezekana pango lake lilimnyima raha ya tendo la ndoa.
Wanaume niliowazungumzia hasa wote mlioshabikia upuuzi ule kwa kweli mmezingua sana na mmejidhalilisha mno kwani nimepata picha inawezekana hata nyinyi pia mkawa mnagongwa na mamendez na ndio maana mnajua kuwa vidushelele vichelema haviwakuni vizuri.
Tunapaswa kuwatetea na wanaanewa na kudhalilishwa kama huyu mhanga
Naomba kuwasilisha.
Nakaribisha povu la sabuni za aina zote.
Over!