Duh kama dume basi tumeshampoteza kwenye ramani ya wanaumeDume hili mzee....
Hahahaa. Ndio sababu anawaita wote wachovu.Anachokitafuta atakipata tuu. Ukute alisha chezewa saana na jamaa wa jf na facebook. Analeta ushuhuda indirect
Mkuu itakuwa hujawahi kukutana wenye nazo labda ni una bahati mbaya humu JF, ila kumbuka sisi pia tupo huko ulipopataja kuwa wanazo.Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Umeoneee. Kazi anayo aiseee.Ha ha ha ha yaani nilivyoona uzi wake nikasema huyu atashushuliwa humu mpaka ajute
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Mjaribu dume la mbegu GuDume ulete mrejeshoHabari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Njoo uchukue 150k kwangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi
1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit
Povu ruksa jomon[emoji23][emoji23]
Duuh! Umesahau kuwa 98% ya members wa jf ni wanachama wa hiyo mitandao?
Yeke msaniMuraaaaaaa