Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Aisee. Umewajuaje sasa au kwa haya maandishi tu ndio yamekufanya ujiaminishe yote hayo.

Pia pole sana sababu leo utawatambua na nahisi huwajui vizuri. Hivyo jipange.
Shogaangu naona kinawasha
 
Njoo uchukue 150k kwangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23] ushaliwa bure heeee heeee hao ndio wahuni sasa umeingia kichwa kichwa watu wamekula zote ndio dawa yenu nyie mnaojifanya materialist.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Heheeeee halooooo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeona hako tutako twako tu twenye avatar, tayari mshipa ushanipanda[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] PM yako iko wazi nije? Mi sikubali kuadhirika[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kwani Jf madhumuni yake ni kuhongana pesa wakuu?,kama unategemea kumchuna Mtu au umezoea kula vya bure Wanaume wa huku siyo mafamba kama uwazaniavyo
 
na upati hata mia! nenda kwa mzee wa mia 900 atakupatia!
 
Pm nianze na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…