sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kiukweli huwa nashindwa kung'amua hili jambo.
Unaweza kukuta mzungu wa kawaida kabisa anaweza kutoka na pisi kali ya kiafrika lakini mwanaume wa kiafrika ambaye yupo vizuri tu atajisifia ku date hata na bibi wa kizungu ilimradi ka date na mzungu.
Yani kwa lugha rahisi mzungu anaweza kumpata mwanamke wa kiafrika anayemaka (get what they want) lakini mwanaume wa kiafika atampata mwanamke wa kizungu ataeweza kumpata (get what they can)
ia naweza kusema wanaume wa kizungu wana date na wanawake wa kiafrika kwa vile walivyo kama watu lakini waafrika wanadate na wanawake wa kizungu kwa kitu walichonacho ambacho ni rangi ya kizungu, nywele za kizungu, n.k
Na sio hivyo tu, Mzungu kumpata mwanamke wa kiafrika inaweza isiwe shida kabisa na zaidi ya hapo mwanamke wa kiafrika huenda ndie akawa anafanya kazi kubwa kufanikisha hayo mahusiano, lakini kwa upande mwengine wa wanaume wa kiafrika wao ndio watatumia nguvu kubwa sana ikiwemo kubembeleza mpaka kufeki maisha ili wampate huyo mwanamke wa kizungu bila kujali ni bibi, mmama, bonge, n.k