Wanaume wengi wana matatizo ya akili

Wanaume wengi wana matatizo ya akili

mangosongoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
256
Reaction score
463
Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa.

Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
 
Kutoka asubuhi kwenda kuwatafutia watoto chakula halafu unarudi mikono mitupu hizo akili utazitoa wapi.
 
Tatizo mnakula vya watu msiowapenda. Kama humpendi mtu usile chake kwa kumuona bwege vinginevyo mtaendelea kuwaita wagonjwa wa akili baada ya kusambaratisha vichwa vyenu
 
Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili,hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali ,mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa ...
Ushauri wangu nenden mkajitibu hayo matatizo msije kuuwa watoto wawatu..
Umegundua?. Kama ugunduzi wako ndio huo basi utakuwa na matatizo ya akili wewe mleta hoja.
 
Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili,hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali ,mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa ...
Ushauri wangu nenden mkajitibu hayo matatizo msije kuuwa watoto wawatu..
Huna chura,
Wigi la kuazima,
Mdomo mchafu,
Tabia mbaya,
Unapenda kuomba omba hela kwa wanaume, kwa tabia hizi unategemea mwanamme gani atakuongelesha?
Bora tuonekane hatuna akili kuliko kuzama kwenye tope.
 
Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili,hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali ,mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa ...
Ushauri wangu nenden mkajitibu hayo matatizo msije kuuwa watoto wawatu..
Unaota we mdadaaahh..!!
 
Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili,hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali ,mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa ...
Ushauri wangu nenden mkajitibu hayo matatizo msije kuuwa watoto wawatu..
Una ushahidi gani kusapoti uzi wako?! Umeongea kwa kifupi sana bila details kamili. Umetumia kipimo gani au takwimu zipi ?!
 
Back
Top Bottom