EnhNaunga mkono mada ni kweli mfano mzuri ni hapa Jf baadhi ya Wanaume.
Sasa pisikali zisiolewe? Maana usipokua tajiri utaitwa mme bwegeKweli kabisa na wanapenda kulazimisha mambo kisa wana pesa. Mtu anakurupuka tu kuoa pisi kali kwa kigezo ana pesa za kumtuliza mwisho wa siku anajikuta anaua
Japo wametoa mapovu hapa ila ukweli wameupata waende kupata tiba sahihi
Sasa pisikali zisiolewe? Maana usipokua tajiri utaitwa mme bwege