Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini....
Lakini mimi nashauri Unyenyekevu na heshima ziendelee kuwako hasa kwa ninyi dada zangu.
Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima.
Ukiwa mcha Mungu omba unyenyekevu ili upate Mme wa maisha yako. Lakini sio lazima ukiamua kuishi kama uishivyo pia endelea.