wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?"

Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu vimasemaje?

Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana bezi, ndevu, nguvu nyingi, tabia za kiume, n.k. vitabu vimasemaje?

Kwenye mapenzi vilevile huvutiwa zaidi na jinsia ambayo homoni zao huvutiwa nazo, vitabu vimasemaje?
 
Subir kidogo Kina Eljibitikyu wanakuja na utetezi na kufafanua...hapo umewagusa wenzao
 
Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu vimasemaje...
1_w4DxUy0PMoqeq25UXfyL0g@2x~2.jpg
 
Hizo ni kasoro za kimaumbile tu kwa binadamu kujumlisha mazingira, kwahyo ni kama ulemavu tu. Sasa sijui unataka hivyo vitabu viseme nini yaani?
 
Huo ni ushenzi
Hakuna mtu anagawanyika jinsia
Huko ni kujiendekeza tu na kuleta mambo ya ushoga na usagaji kuyahalalisha

Mbona kijijini sijawahi kuona mtu ana jinsia za hivo
Kijiji kipiii? Wapoo na wamejaa teleee.
 
Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu vimasemaje...
Bold ndo; Hao wanaume wenye vitu hivyo binafsi pamoja na kukaa kwangu Dar mji wenye vurugu na viumbe wa kila namna sikumbuki kukutana nao.

Bold kubwa; hao ni vijana waliojilegeza ukiwatizama kimuonekano ni wembamba kama mistim ya wire za simu hawala hawana miili ni vyembambaa, kupenda kula vizuri kuendesha gari nzuri kutumia simu nzuri etc kumewafanya wajifanye watoto wa kike ili wagombanie mabwana na dada zao, stupid sana hao watu biblia kitabu ninachokiamini kimewatahadharisha kabisa wao na wanaowafanya adhabu yao itakuwa kubwa sana.
 
Hizo ni kasoro za kimaumbile tu kwa binadamu kujumlisha mazingira,kwahyo ni kama ulemavu tu. Sasa sijui unataka hivyo vitabu viseme nini yaani?
Anataka asikie vitabu vinahalalisha ili ajiachie na msambwanda wake.

Uncle bright chief ni aidha wa kiume au wa kike. There is nothing in between. Kupumuliwa kisogoni ni ufirauni wa mtu, hakuna cha hormone wala baba yake hormone.

Huo wingi wa hormone mliupima na vidole au?

giphy.gif
 
Kuwa na hormone inbalance haihalalishi upigwe mashine au usagane hamna kitu ka icho mtoa mada we ukitaka upigwe mashine ww tu na mkundu wako huwez kuta vitabu vya dini vimeruhusu ushenzi huo
 
Homonal imbalance haihusiani na Gays au Lesbians. Ila kuna factor zinazochangia au sababisha watu wenye tatizo hilo kuangukia ktk Gaysim na Lesbos.

Kwa upande wangu huwa sihitaji kwenye Biblia au Quran, inawazungumziaje, maana wako watu wa aina hii na hawaamini ktk hivyo vitabu viwili tajwa.

Kwa hapa Bongo, hormonal imbalance inamtesaa zaidi wa kiume, na wala sio wa kike, kwa jinsi mfumo wa uelewa na ufahamu wa wajaaa.

Wa kiume, mwenye hormonal imbalance, atatengwa, atanyanyaswa kwa namna mbalimbali, hadi atajihisi Dunia sio sehemu salama kwake, Wengi wanakatisha masomo, wanakimbia makwao, kutokana na shinikizo la jamiii, na ndo unakua mwanzo wa kuharibikaa zaidi, na wanaharibiwa na hiyo jamiii ambayo haimtakiii.

Ni wachache sana, wanaoweza kupambana na migogoro mbali mbali inayowakumba na hasa wale waliokua na wazazi wenye uelewa na ufahamu mpana wa mambo, na wasiofuata mikumbo ya jamii inasemaje au inataka nn, wanawasaidia wanae kufikia malengo na ndoto zao.

Ifike jamii ikubali kuwa kuna watu wenye matatizo ya homoni, na sio wapenzi wa jinsia 1.

Dkt. Gwajima D njoo hapaaa utoe ufafanuzii kuhusu hilii, liko ktk wizara yakoo.
 
Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
Mambo ya Walawi 18 :22
 
Back
Top Bottom