Homonal imbalance haihusiani na Gays au Lesbians. Ila kuna factor zinazochangia au sababisha watu wenye tatizo hilo kuangukia ktk Gaysim na Lesbos.
Kwa upande wangu huwa sihitaji kwenye Biblia au Quran, inawazungumziaje, maana wako watu wa aina hii na hawaamini ktk hivyo vitabu viwili tajwa.
Kwa hapa Bongo, hormonal imbalance inamtesaa zaidi wa kiume, na wala sio wa kike, kwa jinsi mfumo wa uelewa na ufahamu wa wajaaa.
Wa kiume, mwenye hormonal imbalance, atatengwa, atanyanyaswa kwa namna mbalimbali, hadi atajihisi Dunia sio sehemu salama kwake, Wengi wanakatisha masomo, wanakimbia makwao, kutokana na shinikizo la jamiii, na ndo unakua mwanzo wa kuharibikaa zaidi, na wanaharibiwa na hiyo jamiii ambayo haimtakiii.
Ni wachache sana, wanaoweza kupambana na migogoro mbali mbali inayowakumba na hasa wale waliokua na wazazi wenye uelewa na ufahamu mpana wa mambo, na wasiofuata mikumbo ya jamii inasemaje au inataka nn, wanawasaidia wanae kufikia malengo na ndoto zao.
Ifike jamii ikubali kuwa kuna watu wenye matatizo ya homoni, na sio wapenzi wa jinsia 1.
Dkt. Gwajima D njoo hapaaa utoe ufafanuzii kuhusu hilii, liko ktk wizara yakoo.