Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

Hili ni tako halisi au ni ahsante kwa Mloganzila? Tuanzie hapo kwanza [emoji847]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Mbona umenisema? Yaani jinsi nilivyo umekuja kunianika humu!
 
Mbona kama unanisema mimi, kasoro hapo kwenye ushamba tu
 
Nimejisoma mwenyewe.

Halafu wanawake hawatuelewi kabisa
 
Ukitaka kumtambua mwanaume mwenye mapenzi ya dhati,

Kwanza kabisa usithubutu kumpa moyo wako wote katika kipindi cha awali.

Penzi linapoanza kuchipukia, ni vigumu sana kumtambua mtu kama ana mapenzi ya dhati.
Mapenzi ya kweli huwa hayajifichii, mbona iko wazi hii
 
H
Huyo ni Mimi kabisa.... Jitu jeusi lenye mtulinga miii
 
Huyo ni mimi isipokuwa kigezo cha mziki. Nafatilia mziki sana maana ndo burudani yangu - kusikiliza.
 
Now days mabinti wengi wa kichaga wanawakimbilia sana vijana wa kisukuma. Sio kwa ubaya ila nadhani wanabeba 60% ya sifa zilizotajwa na mleta uzi
 
Huwa tunawaignore halafu tunawakumbuka baadae... 🤣
 
Mwanaume mwenye hizo sifa Biological hayuko sawa, Ana matatizo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…