Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole.
Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi pombe wala kuvuta sigara, hawakai vijiweni.
Hawajui viwanja vya starehe, mwanamke anaweza kumtongoza na akamkataa live bila chenga, akipewa ushauri na wazazi wake anasikiliza na kutekeleza. Suruali havai mlegezo, simu anatumia ya kawaida tu na social media hana picha na hayupo snapchat.