Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.
Hatari sana [emoji849]
 
Hii ni shida ya wanawake wengi akifanyiwa tukio na mwanaume mmoja basi ana jumlisha wote.
 
SubhanAllah!🤔
 
Mhm hizi story sasa mnatia chumvi
 
umenikumbusha ile muvi mfalme anapiga mkono kinyama ila hana marinda.
Korean drama.
Mfalme alizingua sana. Akaanza kuleta wivu watu tukajua anamuonea wivu manzi yake anavyokazwa, Kumbe anamuonea wivu mchizi kumpelekea manzi ndizi aliopaswa kuitafuna yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…