Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

umenikumbusha ile muvi mfalme anapiga mkono kinyama ila hana marinda.
Kuna nyingine mfalme alikuwa jeuri baada ya jamaa kuona ushauri wake haukubaliki na king akaamua kumwaga Michele kwenye kuku kibao jinsi anavyombomoa mfalme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo unataka kusema wanamichezo karibu wote(Basketballers kama wacheza kikapu wa NBA, footballers) ni mashoga ? maana mazoezi makali ya tumbo wanayofanya misuli ya tumbo inakaza na six pack zinatokeza .Hebu nioneshe mcheza kikapu wa NBA asiye na six pack. Hizi chuki za kipuuzi zimekuwa zikienezwa sana na wenye vitambi washamba
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.

Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha.

Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume.

Ni jambo la kusikitisha kwakweli wanaume hasa vijana wetu wa sasa.

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM kwa kufanya mazoezi kwa lengo la kuwinda yaani kutega wanaume wenzao.

Ajabu ni kuwa wanawake hudhania kuwa wanaume Hawa hufanya mazoezi kwaajili yao wao, kumbe sio.

Unakuta wanawake wanavutiwa nao sana lakini hawana uanaume.

Wengi wao wameshabomolewa huko nyuma zamani wamebaki na vifua tu.

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.

Nyie wanawake endeleeni kuwapenda hao wanaume ila hawana mpango na nyie wao. Wanawinda kama nyie mnavyowinda.

Kuna mwanamke mmoja analia kwa kwikwi hapa aliolewa na six pack Sasa anajutraaa...
Hivi agrey ana six pack?..
 
Mama mchungaji acha 'generalization'..

sio wote wana hizo tabia.
 
wanaume wa dar au mpaka huku mikoani?
 
Back
Top Bottom