Wanaume wenye"six pack" hutega wanaume zao sio wanawake

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.

Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha.

Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume.

Ni jambo la kusikitisha kwakweli wanaume hasa vijana wetu wa sasa.

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM kwa kufanya mazoezi kwa lengo la kuwinda yaani kutega wanaume wenzao.

Ajabu ni kuwa wanawake hudhania kuwa wanaume Hawa hufanya mazoezi kwaajili yao wao, kumbe sio.

Unakuta wanawake wanavutiwa nao sana lakini hawana uanaume.

Wengi wao wameshabomolewa huko nyuma zamani wamebaki na vifua tu.

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.

Nyie wanawake endeleeni kuwapenda hao wanaume ila hawana mpango na nyie wao. Wanawinda kama nyie mnavyowinda.

Kuna mwanamke mmoja analia kwa kwikwi hapa aliolewa na six pack Sasa anajutraaa...
Hili wala siyo jambo la kujadili, wanaume wote wanaoentertain mambo ya Gym wanaliwa.
 
Siwezi kukataa ila iko too general. Unajua kila rika lina namna ya kuliishi. Ukiwa kijana na una kanafasi kiasi jitahidi kupendeza na kuvutia.

Mimi ni kijana, na nakwenda gym. Kwanza, nimeichagua kuwa starehe yangu yaani nikishatoka mihangaikoni sina pa kwenda so naenda gym kupoteza muda.

Pili, nafanya mazoezi kwa ajili ya afya.

Tatu, mimi nina mwili mdogo kiasi kwahiyo naongeza vinyama kimtindo ili tisheti isinipwaye.

Ukitazama malengo yangu yote hakuna napolenga kumvutia mwanaume wala mwanamke.

Accidentally, wanawake wanavutiwa nasi, hata wasipojilengesha ila tukiwataka hawasumbui. Humo wakiwemo wake zenu ninyi wenye miili isiyo na mpangilio, mwili wa mviringo kama puto ama mwembamba ukivaa nguo yoyote haikai.

Bahati mbaya zaidi, mnajua wake zenu wanatupenda. Huo ndio msingi wa hasira zenu kwetu.

Nikushauri kama ni kijana, jitahidi kuishi kama kijana. Ujana ukikoma na gym inakoma, sasa kijana gani mwili mbaya, kuvaa hujui upo upo tu kama mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba,wapo wanaume ambayo wanapiga gym Ili kuficha ushog@, ila wapo wanapiga gym kujenga mwili,sio wote
 
Siwezi kukataa ila iko too general. Unajua kila rika lina namna ya kuliishi. Ukiwa kijana na una kanafasi kiasi jitahidi kupendeza na kuvutia.

Mimi ni kijana, na nakwenda gym. Kwanza, nimeichagua kuwa starehe yangu yaani nikishatoka mihangaikoni sina pa kwenda so naenda gym kupoteza muda.

Pili, nafanya mazoezi kwa ajili ya afya.

Tatu, mimi nina mwili mdogo kiasi kwahiyo naongeza vinyama kimtindo ili tisheti isinipwaye.

Ukitazama malengo yangu yote hakuna napolenga kumvutia mwanaume wala mwanamke.

Accidentally, wanawake wanavutiwa nasi, hata wasipojilengesha ila tukiwataka hawasumbui. Humo wakiwemo wake zenu ninyi wenye miili isiyo na mpangilio, mwili wa mviringo kama puto ama mwembamba ukivaa nguo yoyote haikai.

Bahati mbaya zaidi, mnajua wake zenu wanatupenda. Huo ndio msingi wa hasira zenu kwetu.

Nikushauri kama ni kijana, jitahidi kuishi kama kijana. Ujana ukikoma na gym inakoma, sasa kijana gani mwili mbaya, sura mbaya, kuvaa hujui upo upo tu kama mzee.

Wanawake wenu wakitupenda mnavimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi unaona rahaa kupendwa na wake za watu huku ukifurahia waume zao kujua kuwa unapendwa na wake zao. Tushajua sababu ila hatusemi.
 
Six pack ni nini tukianzia hapo
Sisi wengine tunazo tu hizo six pack tumezaliwa nazo siyo tumezaliwa nazo life style yetu tu inatupatia hizo kitu

Me nadhani mipunga inavutiwa na watu wenye mionekano stoper hiyo imefanya waende huko gym na kufanya mazoezi ila lengo ni kutaget watu wao mwisho wa siku tafsiri ni kwamba waenda gym wengi ni mipunga

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Propaganda za kifeminist hizi mbona tumezijua hamtuwezi na hatuna habari na nyie na mkileta vi k vyenu tunavibandua na hamna cha kutufanya halafu no ndoa
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari,

Niende kwenye mada isemayo wanaume wenye six pack ni kwa ajili ya wanaume wenzao sio wanawake.

Wanaume hao baadhi yao hutumiwa na vigogo kuwaburudisha.

Wengi wao uanaume haupo tena ila kwa nje wanaonekana ni wanaume.

Ni jambo la kusikitisha kwakweli wanaume hasa vijana wetu wa sasa.

Kutwa wanaume hao wanashinda JIM kwa kufanya mazoezi kwa lengo la kuwinda yaani kutega wanaume wenzao.

Ajabu ni kuwa wanawake hudhania kuwa wanaume Hawa hufanya mazoezi kwaajili yao wao, kumbe sio.

Unakuta wanawake wanavutiwa nao sana lakini hawana uanaume.

Wengi wao wameshabomolewa huko nyuma zamani wamebaki na vifua tu.

Wanavaa mavazi mazuri ya kuwabana vifua vyao kuwatega wanaume wenzao.

Nasemaje wanavaa vikaptula tena vyeupe ila sio kwa ajili yenu wanawake ni kwa wanaume wenzio wanaowageuza.

Nyie wanawake endeleeni kuwapenda hao wanaume ila hawana mpango na nyie wao. Wanawinda kama nyie mnavyowinda.

Kuna mwanamke mmoja analia kwa kwikwi hapa aliolewa na six pack Sasa anajutraaa...
Sema kimeumana kwako
 
Nilipanga nilipie Gym membership ila nmeghairi acha nifuge ndambi kama vipi ntakimbia barabarani
tuseme ule ukweli gym ni sehem ushoga nje nje haswa hizi za mjini
 
Acha kutafuta utetezi wa kijinga ili kuendelea kufuga huo mtambi wako. Nenda gym katoe mtambi huo labda kama ulikuwa unatabia za ushoga tangu awali na kama hivyo hata usipoenda gym utakuwa nazo hapohapo mtaani. Lkn kama hukuwa shoga kwenda gym hakutokufanya upoteze ulijari wako
 
Uache ubishi au wewe mtoto wa kindondoni
Si tunawaona wanaenda gym wanaondoka wawili wawili
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huu uzi umewafanya vijana wa 6pack wamekua wakali kwelikweli, tulivyokua jando kuna mzee mmoja alitukanya tusipende sana kupiga chuma, alikua anasema "ukinyanyua sana vitu vizito hua misuli ya mwili inakaza kwa juu halafu kwa chini inalegea" hii kauli kila nikiifiria naona kama ina kaukweli flani hivi.
images-20.jpg
images-18.jpg
images-19.jpg
images-21.jpg
 
Back
Top Bottom