Wanaume wenye sura "personal" ndio wenye wivu uliopitiliza

Wanaume wenye sura "personal" ndio wenye wivu uliopitiliza

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Huwa wanapata wanawake kwa kutumia external signifiers kama pesa, so wanajua kabisa wanapendewa kwa something unnatural.

So pesa wanatafuta kwa shida, na mwanamke wanampata kutumia hiyo pesa. Matokeo yake ni kua na wivu wa uliopitiliza, muda wote anahisi mke ana cheat.

Tofauti na sisi wanaume wenye mvuto( ma handsome) tunajua akiondoka hutu tutapata mwengine kirahisi bila ya kutumia pesa. Na mara nyingi wanawake ndio wanatuogopa kua tutawaacha au kuwa cheat. Hii inatufanya tusiwe na wivu wa ajabu ajabu.

We fatilia kesi zote za ukatili, angalia aura ya mwanaume, utajua tu na kuthibitisha ninayoyaongea.
1000005131.jpg
 
It's fun jamii ilivyofanikiwa kutu-condition kui-ignore physical attraction ya mwanaume

Jamii ilikuwa na lengo jema, la kwamba mwanaume atumie nguvu zake afanikiwe, mwonekano wake hautompeleka popote (japo kuna mazingira unaweza msaidia) na mwanamke atumie uzuri wake, na bila kuambiwa wanawake wanajua ni mwiko kumsifia mwanaume kwasabab kwa nia nzuri tu, ya hatari inayoweza kutokea, wanawake unconsciously wanaelewa hili, hawajui kwa nini logically kwao ni ngum sana kumuambi mwanaume face to face "you are attractive", kitu ambacho wanawake wanaambiwa kila saa

Lakini hata vitabu vya dini na mtume anathibitisha there is beuty in men, yusuphu kuna sura inamsifia alivo attractive physically na kuna hadithi ya mtume inasema "Nusu ya uzuri alipewa Yusuphu, na nusu iliyobaki ndo ikatumika kuunda kila kilicho duniani"

Wanaume wenye sura personal wana wa-attack na wanawake wao wanakaa tu kimya au watakuambia (we utakua tu malaya wewe😂)

The issue is, from maisha point of view kwa mwanaume physical attraction haina msada, mwanaume anapimwa kwa mafanikio yake hiyo attraction ni bonus tu

Lakini hatuwez kui-ignore the fact that wanaume wenye physical attraction na akawa anaweza tu kuongea kidogo hawapati tabu sana kuanzia kuwapata, kuwavua chupi na ku-keep wanawake, HATA KAMA HUNA HELA

Kama huwa unapata tabu sana kupata wanawake au kupewa tunda mzee una lisula la hovyo sana😂

N:B Wanawake wanajali to some extent unavyoonekana, lakini hawajali sanaaa
 
Huwa wanapata wanawake kwa kutumia external signifiers kama pesa, so wanajua kabisa wanapendewa kwa something unnatural.

So pesa wanatafuta kwa shida, na mwanamke wanampata kutumia hiyo pesa. Matokeo yake ni kua na wivu wa uliopitiliza, muda wote anahisi mke ana cheat.

Tofauti na sisi wanaume wenye mvuto( ma handsome) tunajua akiondoka hutu tutapata mwengine kirahisi bila ya kutumia pesa. Na mara nyingi wanawake ndio wanatuogopa kua tutawaacha au kuwa cheat. Hii inatufanya tusiwe na wivu wa ajabu ajabu.

We fatilia kesi zote za ukatili, angalia aura ya mwanaume, utajua tu na kuthibitisha ninayoyaongea. View attachment 3341318
We msenge leo umeongea kitu cha ukweli wenye uchungu.
 
Back
Top Bottom