Wanaume wenye sura "personal" ndio wenye wivu uliopitiliza

Wanaume wenye sura "personal" ndio wenye wivu uliopitiliza

Mshangazi dot com
Mama naomba waletee picha yangu 😂😂😂😂🙌
Wewe mwanangu siyo mbaya, sura imetulia, mtu akikaza macho kwa makini kukuangalia ni kama ulikua unataka kuwa handsome hivi ila bahati mbaya ukapata kidevu na lipua la baba yako.

Nikiweka picha yako humu mashangazi wenzangu watakutongoza 🤦🏽‍♀️
 
Mamy nasubri usiku wa manane nije kwa uzi wako wa uchokozi ili niwe nasoma na rafiki ako wa tabata maana kaja leo hom 😂😂😂🙌🙏🙏
 
Sura personal au sura private!. Ngoma inaenda kama inarudi, inakuja kama inaenda😂😂😂
 
Huwa wanapata wanawake kwa kutumia external signifiers kama pesa, so wanajua kabisa wanapendewa kwa something unnatural.

So pesa wanatafuta kwa shida, na mwanamke wanampata kutumia hiyo pesa. Matokeo yake ni kua na wivu wa uliopitiliza, muda wote anahisi mke ana cheat.

Tofauti na sisi wanaume wenye mvuto( ma handsome) tunajua akiondoka hutu tutapata mwengine kirahisi bila ya kutumia pesa. Na mara nyingi wanawake ndio wanatuogopa kua tutawaacha au kuwa cheat. Hii inatufanya tusiwe na wivu wa ajabu ajabu.

We fatilia kesi zote za ukatili, angalia aura ya mwanaume, utajua tu na kuthibitisha ninayoyaongea. View attachment 3341318
Mkuu hebu badilisha hiyo title tafadhali. WANAWAKE wenye sura PERSONAL ndio wenye wivu wa kupitiliza.
 
Sio kweli mbona Mimi nina Sura ngumu na nzito ila wanawake nakula wazuri, inategemea na uzito wa mdomo wa muhusika katika kunadi sera zako kwa mwanamke, tena wanaume warembo tunawachapia sana wenza wao😎😎
 
Mwanamke hajawahi Kueleweka anataka Nini

Ivo Kusema Mwanamke anependa Hichi ni udhaifu Mkubwa sana
 
uzuri au ubaya sio kitu kigeni. kimeanza toka enzi na enzi,na kwa kuleta uwiano kila mmoja wetu kajaliwa kupata wa hadhi yake.
mfano, wewe na pisi yako kali unaweza ukatimba kijijini na kumkuta mshikaji akila mate kwa pisi inayokula ugolo.
Au, unaweza mkuta mtu mwingine huko sitimbi, anakula denda mazingira ya kwenye sherehe hadi wewe, ndio unajihisi isije ikawa wanauchokonoa ugali wa juzi.

lakini kinachomata zaidi wote hawakunyimwa raha ya kuenjoy hili tendo regardless, ujamali au ulimbwende wako.
 
Sio kweli mbona Mimi nina Sura ngumu na nzito ila wanawake nakula wazuri, inategemea na uzito wa mdomo wa muhusika katika kunadi sera zako kwa mwanamke, tena wanaume warembo tunawachapia sana wenza wao😎😎
Eeeh
 
Back
Top Bottom